Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
How tena?Kaharibiwa future na Jemedari Saidi kwa kujifanya mjuaji.
Kwani Yanga walipokua wanamuhonga apoteze mechi hakujua nini kitafuata? Si aende huko utopoloni,
Poleee yake sanaaa.
Mambo mengine ni kuyaacha tu yapite. Mna uhakika alichukua mlungula?
Manula ajilaumu mwenyewe. Kile kitendo cha kukaa nje kwa majeruhi ya muda mrefu halafu unarudi haujacheza hata mechi moja ya kirafiki unaenda unapangwa ucheze mechi yenye lawama dhidi ya watani ilikuwa ni sawa na mtu aliyeamua kujiua mwenyewe kwa kujinyonga au kunywa sumu. ile mechi ndiyo iliyompoteza mwelekeo japo hapa katikati nilimuona kama karudi vizuri kiasi.
Awe alihongwa au hakuongwa hiyo anajua mwenyewe. Kocha naye sijui alilazimishwa kumpanga maana hata mtu asiye na taaluma ya kocha katika hali ya kawaida asingempanga Manula kwenye ile mechi.
nadhani umebase na shtuma kuhusu manula kufungwa goli 5 na yanga maana watu wengi wamekua wakisema ile game manula aliuzaKwani Yanga walipokua wanamuhonga apoteze mechi hakujua nini kitafuata? Si aende huko utopoloni,
Poleee yake sanaaa.
Utetezi wako ni bure.Hasafishiki!Hata mwizi au mjinga hutafuta namna usimuhisi au kumkamata.nadhani umebase na shtuma kuhusu manula kufungwa goli 5 na yanga maana watu wengi wamekua wakisema ile game manula aliuza
Hua nashangaa sana, kwanza yanga sijui wangejuaje kua manula ataanza maana habari za manula kuanza ilikua mshangao hata kwa wanasimba maana alikua ametoka kwenye long time injury, hata kocha wa makipa wa simba alisema alipinga manula kuanza kutokana na kutoka kwenye majeraha ya muda mrefu
Turejee kwenye magoli, goli la kwanza la musonda point blank header manula hapa mnampa lawama za bure tu, goli la pili one on one na maxi mpira unapigwa mbali sana kipa angefanyaje. Goli la tatu aziz ki anapiga katikati ya msitu wa mabeki wa simba, goli la nne maxi anapasia nyavu, la 5 penalty. Nitajie hata goli moja tu unalohisi manula angeweza kufanya cha ziada
Nilitegemea ungekuja na hojaUtetezi wako ni bure.Hasafishiki!
Soma tena.Nilitegemea ungekuja na hoja
AbominationSoma tena.
Kwa ukweli?Abomination
Simba na yanga Zina intelijensia Kali kuliko vyombo vya usalamaMambo mengine ni kuyaacha tu yapite. Mna uhakika alichukua mlungula?
Wanatafuta kivuli cha kujificha, kabla ya Simba kucheza na yanga walikuwa wakitaniwa wanashinda lakini hawana furaha ila try again na ahmed walisema wao wanahali ushindi.nadhani umebase na shtuma kuhusu manula kufungwa goli 5 na yanga maana watu wengi wamekua wakisema ile game manula aliuza
Hua nashangaa sana, kwanza yanga sijui wangejuaje kua manula ataanza maana habari za manula kuanza ilikua mshangao hata kwa wanasimba maana alikua ametoka kwenye long time injury, hata kocha wa makipa wa simba alisema alipinga manula kuanza kutokana na kutoka kwenye majeraha ya muda mrefu
Turejee kwenye magoli, goli la kwanza la musonda point blank header manula hapa mnampa lawama za bure tu, goli la pili one on one na maxi mpira unapigwa mbali sana kipa angefanyaje. Goli la tatu aziz ki anapiga katikati ya msitu wa mabeki wa simba, goli la nne maxi anapasia nyavu, la 5 penalty. Nitajie hata goli moja tu unalohisi manula angeweza kufanya cha ziada
Jitahidi kuficha aibu ndogo ndogo kama hiziKwani Yanga walipokua wanamuhonga apoteze mechi hakujua nini kitafuata? Si aende huko utopoloni,
Poleee yake sanaaa.
nadhani umebase na shtuma kuhusu manula kufungwa goli 5 na yanga maana watu wengi wamekua wakisema ile game manula aliuza
Hua nashangaa sana, kwanza yanga sijui wangejuaje kua manula ataanza maana habari za manula kuanza ilikua mshangao hata kwa wanasimba maana alikua ametoka kwenye long time injury, hata kocha wa makipa wa simba alisema alipinga manula kuanza kutokana na kutoka kwenye majeraha ya muda mrefu
Turejee kwenye magoli, goli la kwanza la musonda point blank header manula hapa mnampa lawama za bure tu, goli la pili one on one na maxi mpira unapigwa mbali sana kipa angefanyaje. Goli la tatu aziz ki anapiga katikati ya msitu wa mabeki wa simba, goli la nne maxi anapasia nyavu, la 5 penalty. Nitajie hata goli moja tu unalohisi manula angeweza kufanya cha ziada
Jitahidi kuficha aibu ndogo ndogo kama hizi