Aishi Manula alikuwa kipa mzuri sana. Kipaji chake kimeuliwa kabisa

Mbona ile sare ya 2 kwa 2 meja isamuyo mka mtuhumu Israel mwenda hadi let hamna nae mawasiliano mazuri,
Nyani haoni kundule?
Manura alipokea rushwaa, nayeye hajawahi kana, tukanpa thank you. Yuko zake chamazi huko, hata utopolo wameogopa kumchukua, kisa nn usaliti
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Simba na yanga Zina intelijensia Kali kuliko vyombo vya usalama

Wao yanga wana mtuhumu mwenda kauza mechi ile sare ya 2 kwa 2, sasa uliza kosa lipi pale la mwenda,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi let kijana was watu hajui hatma yake kisoka, na akikaa vibaya basi imeishaa hiyoo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Upo sahihi kabisa Mkuu.

Aishi alishtukiziwa tu na Kocha Mkuu yule Mbrazil Oliviera kua atakaa golini katika mechi na Yanga tena bila ridhaa ya kocha wa makipa

Wakati huo ndio ametoka ku recover kwenye kuumwa na katika mazoezi alikua anafanya vizuri sana. Kocha akashawishika na juhudi zake na kile alichokua anakionyesha mazoezini. Na hilo lilikua ni kosa kubwa kutokana na aina ya mechi waliyokua wanaenda kukabiliana nayo

Kocha hakua na imani na kina Ally na Abel
 
Wao yanga wana mtuhumu mwenda kauza mechi ile sare ya 2 kwa 2, sasa uliza kosa lipi pale la mwenda,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi let kijana was watu hajui hatma yake kisoka, na akikaa vibaya basi imeishaa hiyoo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenda mapepe yake tu au atakuwa kapewa mlungula kweli Yanga huwaga hatumind hizo mambo

Mbona dogo Edmund alizingua game na Simba ya Muungano tukafungwa na bado yupo anakiwasha
 
Aisee. Vipaji vinaiufa sana
 
Mwenda mapepe yake tu au atakuwa kapewa mlungula kweli Yanga huwaga hatumind hizo mambo

Mbona dogo Edmund alizingua game na Simba ya Muungano tukafungwa na bado yupo anakiwasha
Unajua sababu ya Bangala na Djuma Shaban kuondolewa Yanga? Nani kasema Yanga hakuna hizo mambo?! This is Nature.
 
Watoto wase ge hawa yaani million 20 uuze mechi. Wee mwambie kama kweli waitaka mechi weka million 500 hapa
 
Hivi unajua mi nashabikia timu gani, mimi sio shabiki hoyahoya isitoshe mpira ni mchezo wa wazi . Ile mechi itafute youtube halafu uje kuonyesha goli gani lilitokana na Aishi Manula.
NImeanza kushabikia mpira muda mrefu nazijua siasa za mpira. Kama Manula aliuza mechi kwanini Simba iliendelea kufungwa mfululizo hadi msimu huu ulioisha.
 
Posho ya goli tano imemponza.
 
Hakuna goli la kuhongwa wajameni,, tukubaliane Simba ile ilikuwa dhoof li hali,,,
mbona huyu bwege naye kafungwa kise**e goli 2 kwenye sare ya 2 - 2 hasemwi...

Viongozi wa Simba na Yanga wanatafutaga mchawi wakati yote yanaonekana hadharani,,, viongozi wa Simba walikimbiza makocha wakati wachezaji magalasa,, mpaka waliposajili angalau kuna uhai..

Chibe Chibindu kukosa penati moja dhidi ya Simba ilimpoteza,, Barnabas Sekelo nafkiri ndo mchezaji pekee bila kuhitaji taarifa za ndani kiuwazi kabisa alikuwa mnazi wa Yanga, nje na ndani ya uwanja na penati zake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…