Aishi Manula anapewa sifa asizostahili! Hawezi kuifikisha popote Simba na Taifa Stars

Aishi Manula anapewa sifa asizostahili! Hawezi kuifikisha popote Simba na Taifa Stars

Yani umezunguka mbuyu weeeeee kumbe lengo lako ni kumtaja kakolanya.
.
Brother let me tell you manula ni habari nyingine usimlinganishe na mtoto mdogo kwa udakaji kama kakolanya, manula enzi yupo azam hakuna aliyekuwa akimsema sana ila kwa kuwa kahamia kwa simba SC basi miyanga nyote nyie mko tofauti nae.
.
Kakolanya kufanya vizuri kwenye mechi dhidi ya simba si sababu ya yeye kuwa bora.
.
Ni sawa na oblak wa atletico de madrid useme ni bora kumzidi de gea eti kwa sababu degea anafanya mistake ndogondogo NEVER degea is still the best.
Nikweli yupo vizuri na nihabari nyingine kuwapiga wenzake misumari
 
Ahuweni ya Ben kuliko Manula hili nilianza kulisema miezi 3 iliyopita nikiwa na washkaji zangu pale Taifa.

Nina mahaba na Simba ila Aishi hana kiwango kizuri kwa siku za karibuni.

Ukuta ule wa James Kotei, Pascal Wawa, Zimbwe unamfanya aonekane mzuri ila ni kipa wa kiwango cha chini sana siku hizi.
 
Unaposema Manula ana mapungufu ni kweli anayo kama mchezaji.. ila kusema Beno ni bora kuzidi Aishi ebu tuambie kwa lipi na toka lini?
 
Ni sawa na oblak wa atletico de madrid useme ni bora kumzidi de gea eti kwa sababu degea anafanya mistake ndogondogo NEVER degea is still the best.
Ulianza vzuri ila hapa umeharibu mkuu.... Jan Oblak ndio best keeper duniani kwa statistics tokea 2014/15 kiufupi ana clean sheet nyingi kuliko huyo de gea by far yaani 53% ya mechi alizodaka hajaruhusu goli..... Huyo De gea ana clean sheet ngapi kwa ufupi Jan Oblak ndio kipa pekee ambaye namba ya clean sheets imezidi namba ya magoli aliyofungwa (73 clean sheets 70 goals conceded by november) na pia save per goal ratio 4.56 wakati De gea ana 4.0 pekee. Hapo bado Reflexes, Accuracy,Positioning,Acrobats n.k De gea kazidiwa by far kabisa.

Pamoja na defense mbovu ya atletico msimu huu ila ndio ame concede magoli machache zaidi la liga nzima yaani kamzidi courtois,Ter stegen na kwa mbali sana De Gea!!

Oblak Karuhusu kabla ya mechi ya jana magoli 10 pekee kwenye ligi ila de gea mpaka sasa karuhusu goli 26 sasa unawalinganishaje??

Kwa ufupi hakuna kama Oblak hii dunia, zaidi ukizingatia ndio kwanza ana miaka 25... Akifika umri wa De Gea atakuwa na clean sheet zaidi ya 300+
 
Tatizo la Manula anaruka amekunja mikono ule Mpira aliofungwa na Zanako goli la kwanza angekaza mikono angeutoa
 
Ulianza vzuri ila hapa umeharibu mkuu.... Jan Oblak ndio best keeper duniani kwa statistics tokea 2014/15 kiufupi ana clean sheet nyingi kuliko huyo de gea by far yaani 53% ya mechi alizodaka hajaruhusu goli..... Huyo De gea ana clean sheet ngapi kwa ufupi Jan Oblak ndio kipa pekee ambaye namba ya clean sheets imezidi namba ya magoli aliyofungwa (73 clean sheets 70 goals conceded by november) na pia save per goal ratio 4.56 wakati De gea ana 4.0 pekee. Hapo bado Reflexes, Accuracy,Positioning,Acrobats n.k De gea kazidiwa by far kabisa.

Pamoja na defense mbovu ya atletico msimu huu ila ndio ame concede magoli machache zaidi la liga nzima yaani kamzidi courtois,Ter stegen na kwa mbali sana De Gea!!

Oblak Karuhusu kabla ya mechi ya jana magoli 10 pekee kwenye ligi ila de gea mpaka sasa karuhusu goli 26 sasa unawalinganishaje??

Kwa ufupi hakuna kama Oblak hii dunia, zaidi ukizingatia ndio kwanza ana miaka 25... Akifika umri wa De Gea atakuwa na clean sheet zaidi ya 300+
Ngoja narudi mkuu kukupa statistics za david de gea.
 
Kweli kabisa ata ukiangalia urukaji wake anaruka bila kunyoosha mikono labda umlenge... Goal la kwanza anaruka kama ndama
Aisee watanzania tuna maneno balaa
Eti aliruka kama ndama 😂😂😂😂
 
Kiukweli manula siku za karibuni umeshuka sana,siku kocha akisema dida,nadhani manula itamchukua muda sana kurudi golini
 
Licha ya udhaifu wa wachezaji wa uwanjani.

Licha ya mfumo wa kocha "Uchebe"

Licha ya sababu nyingine unazoweza kuzitaja na kuzielezea.

Kati ya mabao 10 aliyofungwa Aishi Manula, Mengine yanatokana na mapungufu yake.

Nilichoweza kugundua ni kuwa kwa sasa Tanzania hakuna kipa ambaye ni exceptional kiasi kwamba jina la kuitwa "Tanzania One" limfae vilivyo.

Manula ni kipa bora kati ya makipa ovyo waliopo nchini Tanzania kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tofauti kabisa na alivyokuwa AZAM FC,kipindi kile alikuwa TZ one alionyesha uwezo mkubwa wa kudaka lakini sasa hivi naona anaporomoka hana tofauti na Dida.Nimeangalia mechi ya jana dhidi ya Al-Ahly kwa kweli inasikitisha,umefika wakati sasa wa vilabu kuanza kutrain vijana wadogo kwa ajili ya kureplace nafasi za wakongwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira wa bongo wanaongozana viwete kwa viwepe ukitaka jua wakoje hadi watoke nje. Yani sisi mchezaji mkubwa tulone twamuona tu Samatta kumbe kwa wenzetu niwakawaida sana
 
Ni tofauti kabisa na alivyokuwa AZAM FC,kipindi kile alikuwa TZ one alionyesha uwezo mkubwa wa kudaka lakini sasa hivi naona anaporomoka hana tofauti na Dida.Nimeangalia mechi ya jana dhidi ya Al-Ahly kwa kweli inasikitisha,umefika wakati sasa wa vilabu kuanza kutrain vijana wadogo kwa ajili ya kureplace nafasi za wakongwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi simkubali Aishi Manula lakini kwa jinsi backline ya Simba ilivyocheza,labda hata David de Gea angepunguza goli moja tu.
 
Mimi binafsi simkubali Aishi Manula lakini kwa jinsi backline ya Simba ilivyocheza,labda hata David de Gea angepunguza goli moja tu.
Kazi mojawapo ya kipa ni kufuta makosa ya mabeki wake,hiyo kazi Manura hawezi.
 
Anakula vizuri, analipwa vizuri. Ule moyo wa kuridhika na kuanza kunenepa na jitihada ndogo kwenye mazoezi ndo huwa zinawashusha viwango hawa jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko right Sana kaka pia hata viongoz wa team na bench la ufundi nadhan hawafany kazi yao kwa ufanisi kuwahimiza wachezaj kujituma na kuongeza juhud kila mtu anahesab tu pesa imeingia,watot wamekul,tumelal Serena hotel,tumesafir kwend Congo na misri allowance tumepata bas
Kuna msemo wanasema shibe mwanamalevya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom