Aishi Manula anapewa sifa asizostahili! Hawezi kuifikisha popote Simba na Taifa Stars

Aishi Manula anapewa sifa asizostahili! Hawezi kuifikisha popote Simba na Taifa Stars

Bila timu kuongezwa AFCON ya huu mwaka 2019 , TStars isingeeda . Licha hivyo tulifuzu kwa jasho
Kuna timu nzuri Kama Zambia hazikwenda. Tulistahili. Sisi watanzania ni watu wa mob psychology. Manula ni mmoja wa makipa wazuri waliopo sasa
 
Back
Top Bottom