greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,276
Kwangu mimi Juma Kaseja atabaki kuwa Tanzania One mpaka siku ntakayoridhika na kiwango cha kipa mwingine.Ni tofauti kabisa na alivyokuwa AZAM FC,kipindi kile alikuwa TZ one alionyesha uwezo mkubwa wa kudaka lakini sasa hivi naona anaporomoka hana tofauti na Dida.Nimeangalia mechi ya jana dhidi ya Al-Ahly kwa kweli inasikitisha,umefika wakati sasa wa vilabu kuanza kutrain vijana wadogo kwa ajili ya kureplace nafasi za wakongwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app