Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport
==
Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Maelezo zaidi kuhusu hali yake yanatarajiwa kutolewa.
Manula alikuwa sehemu ya kikosi cha nyota 22 wa Simba ambao wameanza safari yao alfajiri ya leo Disemba 4, kuifuata CS Constantine nchini Algeria, kwa ajili ya mechi ya pili ya Kundi A CAFCC.
Pia, Soma: Nyota 22 Simba kuifuata CS Constantine Algeria, CAFCC