Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Huu mpira kaka! sio mambo ya ulokoleUsimtendee jirani yako usichopenda kutendewa.
Haha sure mkuu wale watoto walikua wanarudisha mali chap chap kweli uwanjani, nilikua mpaka nacheka aiseeMkuu mazingira ya kuchelewesha muda jana hayakuepo.
Hapakua na kugongana gongana na washambuliaji wa timu pinzani, afu wale ball boys walikua sharp sana kurudisha mipira uwanjani (goal kick)...
wale waokota mipira sijui walikuwa trained yani anamuwekea kabisa mpigaji mpira apige badala ya yule mpigaji kuuweka yeyeMkuu mazingira ya kuchelewesha muda jana hayakuepo.
Hapakua na kugongana gongana na washambuliaji wa timu pinzani, afu wale ball boys walikua sharp sana kurudisha mipira uwanjani (goal kick).
Alijitahidi kutafuta mazingira ya kupoteza muda ila ikawa ngumu sana.
NB: Maoni yangu kulingana na nilivoshuhudia mchezo.
Wa kwetu nao wajifunze sijui wanawatowa wapiHaha sure mkuu wale watoto walikua wanarudisha mali chap chap kweli uwanjan .....nilikua mpaka nacheka aisee
Kwa hili namtetea Manula, kijana wangu wa kutokea kule Chikago Mkamba morogoro. Kupoteza muda bila sababu ni hatari sana kwa timu yako.Salaam wakuu.
Binafsi ninaamini Aishi S Manula ndiye mlindalango bora wa kitanzania kwa sasa ila kuna jambo ananikera sana.
HAWEZI KUCHELEWESHA MUDA (nimemuona kwenye michezo mingi ikiwemo wa jana dhidi ya Benin) yani timu yake inaongoza bao moja na imeelemewa muda wote wanashambuliwa wao kisha anadaka mpira dk ya 75+ hata kulala halali wala kusingizia ameumia badala yake anainuka na kuanzisha mpira haraka unakera.
Ile kuchelewesha muda huwaudhi wachezaji wa timu pinzani na kusababisha kutoka mchezoni kwa namna fulani.
MANULA BADILIKA.