Ajabu: Aliyejitambulisha kama mfanyakazi wa Airtel huduma kwa wateja kanitukana!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Kupitia namba hii 0789348104 mara mbili kanipigia cm saa sita na dakika tatu na saa sita na dakika thelathini na moja akijitambulisha kama ni mfanyakazi wa kampuni ya Airtell kitengo cha Huduma kwa Wateja anaitwa C. Haule ( jina la mwanzo sikulikariri vizuri ila linaanza na hiyo herufi ).

12:03 kwa mara ya kwanza alinipigia na kujitambulisha hivo na aliponiuliza mie nikamwambila naitwa Juma na nipo Kariakoo, akaniuliza kama nimepata ujumbe wowote wa 'Airtell money', nikamwambia ndio nimepokea ( simu ni ya ofisini na haitumiki kwa mambo ya kupokea wala kutuma pesa ), akaniuliza ni kiasi gani nimepokea, nikamweleza nimekisahau mpaka niangalie kwenye simu na kwa kuwa tunaongea inakuwa vigumu ila anisaidie yeye kuiona hiyo pesa, duh!!!!! jamaa akiniambia ninat.....bwa na k.... ya mama yangu.

12:31 akapiga tena na kama mwanzo alijitambulisha hivohivo mie safari hii nikamwambia naitwa Hamisi nipo Mpwapwa. Akaniuliza kama mwanzo kupata ujumbe wa pesa nikamweleza ndio tena shilingi milioni moja basi jamaa akaniambia niende kwa wakala nikaitoe halafu niivingilishe iwe kama sigara na niiiweke ndani ya makalio yangu na akakata simu.
Mara zote kila akimaliza kwa kunitukana anakuwa mkali kwelikweli, najiuliza TCRA wameshindwa kabisa kabisa kuzuia wizi huu?
 
Umetukana na matapeli wa mtandaoni na si mfanyakazi wa Airtel
 
Wewe ni chizi yaani umeshindwa kujua kuwa unawasiliana na tapeli?
 
Hehehehehe. Huyo siyo mtu Airtel. Angekuwa kweli yuko Airtel siyo lazima umwambie salio kwenye simu yako anajua.

Hao ni matapeli.

Mwenyewe juzi hapa tapeli wa hivyo hivyo kanipigia, akaniuliza kuna pesa umetumiwa, nikamwambia ndio.

Akasema kiasi gani ( nikajua hili ni tapeli ) nikasema milioni 2.

Jamaa likanitukana, halafu likakata simu.
 
Back
Top Bottom