Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
- Thread starter
- #61
BIG UP mkuu, sijui kwa nini wengine hukimbilia tu kutuma anachokifikiri kabla ya kuchukua hata sekunde tano za kuelewa mada husika.
Huyu anajua kabisa na si chizi kama unavyomfikiria. Amemjibu maswali yake safi kabisa akijua anaongea na tapeli wa mtandaoni. Anachouliza je TCRA wanafanya nini kuhusu kuzuia tatizo hili. Ameleta ujumbe huu kuwatahadharisha watumiaji wa simu za mkononi kwamba utapeli bado upo pale pale.