Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 384
- 884
Siku wakinipigia nitawaambia ndio nimetumiwa bilioni moja! Sjui atanitukanaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo airtel ni wezi?, najiuliza TCRA wameshindwa kabisa kabisa kuzuia wizi huu?
Umetukana matapeli wakipiga tena ongeza matusi mengine mkuuKupitia namba hii 0789348104 mara mbili kanipigia cm saa sita na dakika tatu na saa sita na dakika thelathini na moja akijitambulisha kama ni mfanyakazi wa kampuni ya Airtell kitengo cha Huduma kwa Wateja anaitwa C. Haule ( jina la mwanzo sikulikariri vizuri ila linaanza na hiyo herufi ).
12:03 kwa mara ya kwanza alinipigia na kujitambulisha hivo na aliponiuliza mie nikamwambila naitwa Juma na nipo Kariakoo, akaniuliza kama nimepata ujumbe wowote wa 'Airtell money', nikamwambia ndio nimepokea ( simu ni ya ofisini na haitumiki kwa mambo ya kupokea wala kutuma pesa ), akaniuliza ni kiasi gani nimepokea, nikamweleza nimekisahau mpaka niangalie kwenye simu na kwa kuwa tunaongea inakuwa vigumu ila anisaidie yeye kuiona hiyo pesa, duh!!!!! jamaa akiniambia ninat.....bwa na k.... ya mama yangu.
12:31 akapiga tena na kama mwanzo alijitambulisha hivohivo mie safari hii nikamwambia naitwa Hamisi nipo Mpwapwa. Akaniuliza kama mwanzo kupata ujumbe wa pesa nikamweleza ndio tena shilingi milioni moja basi jamaa akaniambia niende kwa wakala nikaitoe halafu niivingilishe iwe kama sigara na niiiweke ndani ya makalio yangu na akakata simu.
Mara zote kila akimaliza kwa kunitukana anakuwa mkali kwelikweli, najiuliza TCRA wameshindwa kabisa kabisa kuzuia wizi huu?
Heading ingekuwa, jinsi tapeli wa njia ya mtandao alivyofeli mipangoKupitia namba hii 0789348104 mara mbili kanipigia cm saa sita na dakika tatu na saa sita na dakika thelathini na moja akijitambulisha kama ni mfanyakazi wa kampuni ya Airtell kitengo cha Huduma kwa Wateja anaitwa C. Haule ( jina la mwanzo sikulikariri vizuri ila linaanza na hiyo herufi ).
12:03 kwa mara ya kwanza alinipigia na kujitambulisha hivo na aliponiuliza mie nikamwambila naitwa Juma na nipo Kariakoo, akaniuliza kama nimepata ujumbe wowote wa 'Airtell money', nikamwambia ndio nimepokea ( simu ni ya ofisini na haitumiki kwa mambo ya kupokea wala kutuma pesa ), akaniuliza ni kiasi gani nimepokea, nikamweleza nimekisahau mpaka niangalie kwenye simu na kwa kuwa tunaongea inakuwa vigumu ila anisaidie yeye kuiona hiyo pesa, duh!!!!! jamaa akiniambia ninat.....bwa na k.... ya mama yangu.
12:31 akapiga tena na kama mwanzo alijitambulisha hivohivo mie safari hii nikamwambia naitwa Hamisi nipo Mpwapwa. Akaniuliza kama mwanzo kupata ujumbe wa pesa nikamweleza ndio tena shilingi milioni moja basi jamaa akaniambia niende kwa wakala nikaitoe halafu niivingilishe iwe kama sigara na niiiweke ndani ya makalio yangu na akakata simu.
Mara zote kila akimaliza kwa kunitukana anakuwa mkali kwelikweli, najiuliza TCRA wameshindwa kabisa kabisa kuzuia wizi huu?
Tusaidie basi mnajuaje kwamba huyu mtu amefanya Transactions? maana karibu muda wote niliowahi kufanya transfer au kuingiziwa pesa (bila kujali aina ya mtandao niliotumia) ndio muda na nyie mliponipigia simu na majaribu yenu ya kitapeli .Matapeli tunasoma Uzi kimya kimya ili tu update matusi
Usinitafutie kesi bobu au nikupe matusi😀😀😀😀Tusaidie basi mnajuaje kwamba huyu mtu amefanya Transactions? maana karibu muda wote niliowahi kufanya transfer au kuingiziwa pesa (bila kujali aina ya mtandao niliotumia) ndio muda na nyie mliponipigia simu na majaribu yenu ya kitapeli .
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app