KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Huyu anajua kabisa na si chizi kama unavyomfikiria. Amemjibu maswali yake safi kabisa akijua anaongea na tapeli wa mtandaoni. Anachouliza je TCRA wanafanya nini kuhusu kuzuia tatizo hili. Ameleta ujumbe huu kuwatahadharisha watumiaji wa simu za mkononi kwamba utapeli bado upo pale pale.Wewe ni chizi yaani umeshindwa kujua kuwa unawasiliana na tapeli?