Ajabu: Aliyejitambulisha kama mfanyakazi wa Airtel huduma kwa wateja kanitukana!

Hahaha...nimekuana na hii kesi mida tu, alimpiga dem wangu ila katikati ya maongezi yao nikaitikia ndo mvua ya matusi ilipoanza, kiujumla nimempanikisha sana hadi akakata simu mwenyewe maana kwasasa matusi yao sio kitu kipya tena.
 
Bulungutu la milioni moja hata kama ni efu kumi kumi uliviringishe halafu ulitie mk...uni sidhani kama utakua salamaπŸ˜‚πŸ˜‚

Je zikiwa buku 5 au buku mbili mpwa hahahaaa hawa jamaa ni wagunduzi wa matusi
 
Umetukana matapeli wakipiga tena ongeza matusi mengine mkuu
 
Heading ingekuwa, jinsi tapeli wa njia ya mtandao alivyofeli mipango
 
Matapeli tunasoma Uzi kimya kimya ili tu update matusi
Tusaidie basi mnajuaje kwamba huyu mtu amefanya Transactions? maana karibu muda wote niliowahi kufanya transfer au kuingiziwa pesa (bila kujali aina ya mtandao niliotumia) ndio muda na nyie mliponipigia simu na majaribu yenu ya kitapeli .

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hivi hawa TCRA wapo humu!? Au haya matatizo hayaripotiwi kwao!?Ina maana hadi leo hii wanaruhusu namba zisizosajiliwa kuendelea kutumika!?? Au kama zimesajiliwa,wanashindwaje kuwakamata hawa watu!? Na kama hizi mamba hazijasajiliwa uzembe no was nano!? Wao TCRA au mitandao ya simu!? kama no mitandao ya simu kwanini wasowajibishwe kwa kulipishwa faini kubwa ili kukomesha huu usumbufu kwa wananchi au kama jukumu no lao TCRA mkurugenzi wa TCRA, naibu na waziri husika wanafanya kazi gani??
 
Usinitafutie kesi bobu au nikupe matusiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…