KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Huyu anajua kabisa na si chizi kama unavyomfikiria. Amemjibu maswali yake safi kabisa akijua anaongea na tapeli wa mtandaoni. Anachouliza je TCRA wanafanya nini kuhusu kuzuia tatizo hili. Ameleta ujumbe huu kuwatahadharisha watumiaji wa simu za mkononi kwamba utapeli bado upo pale pale.Wewe ni chizi yaani umeshindwa kujua kuwa unawasiliana na tapeli?
πππππ.....jamaa akaniambia niende kwa wakala nikaitoe halafu niivingilishe iwe kama sigara na niiiweke ndani ya makalio yangu na akakata simu.
Ukinipa tusi utanionea rejea meseji yako kwanza kabla kujua hujui unachokifanyaUsinitafutie kesi bobu au nikupe matusiππππ
Soma kwa utulivu utaelewa. Jamaa kahoji kama TCRA hawawez kutambua namba ya mwizi huyoWewe ni chizi yaani umeshindwa kujua kuwa unawasiliana na tapeli?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimetafakari sana hilo tusi, nikabaki naugulia maumivu ya mbavuBulungutu la milioni moja hata kama ni efu kumi kumi uliviringishe halafu ulitie mk...uni sidhani kama utakua salama[emoji23][emoji23]
Je zikiwa buku 5 au buku mbili mpwa hahahaaa hawa jamaa ni wagunduzi wa matusi
mimi alinipigia simu mmoja ana lafudhi ya watu wa kaskazini.. nikawa namskiliza nakumjibu kama anavyotaka.Hawa wajinga wanamatusi mazito, mkishindwa kuelewana bora kata simu mapema kwani atakushushia matusi halafu hakati simu mpaka utakata mwenyewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haijalishi umeshauriwa nini na huyo ndugu please please usijaribu kuiviringisha milioni iwe kama sigara mzingo wake ni mnene mno
HahahahaMm kuna siku wakanipigia bana wakaniambia oohh samahani kuna salio limetumwa kimakosa kwenye account yako!!??
swali la pili wakaniuliza kwani akaunti yako ilikuwa na kiasi gani?
nikawajibu bilioni moja....
nikasikia tusi, ku.ma nyoko....simu ikakatwa....
na Mimi sikukubali nikachukua simu nyingine nikawapigia wakapokea....
nikawatukana mik.undu yenu....
wezi wakubwa nyie nikakata simu..
Haaaaa Haaaaa π, kwanini yanatukana?Hapo bado hujatukanwa, wanatukana sana hapo matapeli.
Haaaaa Haaaaa π jamani mbavu zanguπππAisee!!
wamekwambia uchukue milioni moja uiviringishe kama sigara kisha uiweke matak.oni
hawa jamaa balaa
vp ulitekeleza maelekezo yao lkn!!?
Walitegemea kupiga pesa, unapowabaini ndipo wanabwabwaja matusi mpaka ya mbuzi [emoji16]Haaaaa Haaaaa [emoji23], kwanini yanatukana?
Mkuu, nadhani ungenielewa kwa kufahamu maana ya neno AJABU. Mie nilimtambua kama ni tapeli ndo maana nikawanamjibu hivo. Na hii ni kuufahamisha umma kuwa hawa matapeli wapo kazini mpaka sasa licha ya juhudi zote za usajili wa 'lines' zetu.hapo mwisho unasema TCRA wameshindwa kabisa kuzuia wizi huu.... sasa mkuu umekwisha jua ni wezi sasa kwanini
unasema mfanyakazi wa airtel kakutukana?