Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Wewe fikiria kwamba eti mwanamke anaogopa kuonana na mwanaume kisa ni kuogopa kuwa akionana naye tu na jamaa akamwaga sera huyo mwanamke anahisi kwamba hawezi kumkatalia, kwa hiyo dawa yake ni kumkwepa! Huyu mwanamke LAZIMA atakuwa ni DHAIFU kuliko maelezo! By the way, ukiona mwanamke ni mkali sana hasa ukimtaka ujue huyo ni mrahisi kuliko maelezo!
Sasa nirudi kwa habari ya kile kikundi kinachojiita UKAWA, wanajifanya kuwa ni ngangari na ni wazalendo hasa pale wanapotetea "maoni ya wananchi walio wengi" yaani wale 17,000! UKAWA wameenda mbali sana kwenda "kushtaki kwa wananchi," ili mradi tu kutetea kile wanachoamini kuwa nia sahihi!
Ukiangalia kwa haraka haraka utadhani kuwa UKAWA ni dude moja linatisha sana hata ku-capture attention ya watu wengi, lakini hawa jamaa ni wadhaifu hakuna mfano!
Eti wanachoogopa wakirudi pale mjengoni baadhi yao "watanunuliwa na CCM!"
Cha kujiuliza ni hiki: Kama mtu anaweza kununulika kiasi kwamba anaogopa hata eneo la mnada na sio wanunuzi sasa uzalendo wake uko wapi?
Ana tofauti gani na wale walionunuliwa ili kusaini mikataba mibovu ya madini iliyoliingizia taifa hasara?
In short: UKAWA members are just like anyone else, no specialty, weaker than it can be imagined!
You will know them by their DEEDS!