Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa kununuliwa, only that! Hizo zingine ni sarakasi tu!Wewe ndo msemaji wa UKAWA? Mbona msimamo na sababu zao zinajulikana wazi, sasa hii unayoeleza umeitoa wapi? You can fool some/all the people for some time; but you can't fool all the people all the time.
kawaelimishe kile kikundi cha ukawa kiheshimu kazi waliyopewa kwa mujibu wa sheria!
Mi siwezi kufikiria hivyo kwa sababu simchukulii mwanamke kama commodity. Wewe mawazo yako ni kuwa mwanamke ni bidhaa ya kununulika lakini kwa mtu yeyote mwenye akili anamheshimu mwanamke. Mind you... huyo mwanamke unayemtolea mfano wa kununulika hapa anaweza kuwa mama yako, dada yako nk...
Jifunze kuheshimu dogo...
UKAWA wanataka kugawanya nchi yetu, tuwapinge kwa nguvu zote!
Wao ukiwadodosa sana wanadai kuwa "wanaimarisha Muungano!"
Ni wanafiki hakuna mfano!
nadhani sasa utapata kunielewa nilichokisema kipindi kile ccm ni genge la wahuni no katiba mpya mpaka ukawa wakisha kabidhiwa nchi
Ukawa ni genge la visasi na hasira ambalo linaongozwa
na uroho wa madaraka kushika nchi ni sawa na uyoga kuota baharini.
You must be abnormal!endelea kupiga kelele mwizi tunamfukuza kimya kimya
UKAWA hamuwafahamu vizuri. Hawa ni watu wachache wenye uchu wa madaraka hata kuliko vyama vingine wanvyovisingizia. Ukitaka kuwafahamu vizuri angalia wenyeviti wao walivyokaa madarakani na wengine wamevunja rekodi katika kugombea urais. Hebu subiri kidogo unisikilizie watakavyoanza kupingana a kupigana vikumbo kwenye majimbo. Kwenye Urais huko ndo balaa. Kwamfano Chadomo wanajiona ni bora kuliko vyama vyote vya upinzani. Cufuri wanajiona mwalim mkuu wao profeza Lee- Pumba ndiye anafaa kuwa Rais na ndo mana kagombea zaidi ya mara nne urais na naishia kuokoteza vikura viwili vitatu. Achana na wachumia tumbo hawa.endelea kupiga kelele mwizi tunamfukuza kimya kimya