Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani hivi bado ccm wanawahitaji ukawa?si wameshasema watatunga katiba wenyewe sasa ukawa wa nini tena??watuache na ukawa wetu!
Sheria ndio inawataka wawe Bungeni, sio CCM! Tena Sheria yenyewe walichangia kuitunga wana-UKAWA, sasa sijui walikuwa wanamtungia nani hiyo Sheria huku wenyewe wakikimbilia kutafuta huruma ya wananchi!jamani hivi bado ccm wanawahitaji ukawa?si wameshasema watatunga katiba wenyewe sasa ukawa wa nini tena??watuache na ukawa wetu!
UKAWA wakirudi Bungeni ndio nitawaelewa!
Acha upotoshaji, hakuna kitu kinaitwa "Rasimu ya CCM!" Hiyo hiyo ya Warioba inajadiliwa na kubadilishwa kisha kupitishwa kulingana na hoja za Wajumbe!Warudi Bungeni kujadili rasimu ya ccm? Hiyo haiwezekani. Tunataka rasimu ya Warioba na si vinginevyo.
Acha upotoshaji, hakuna kitu kinaitwa "Rasimu ya CCM!" Hiyo hiyo ya Warioba inajadiliwa na kubadilishwa kisha kupitishwa kulingana na hoja za Wajumbe!
Mkuu,Ndugu zangu, watu aina ya Buchanan ni kuachana nao haya na matokeo ya rushwa na elimu duni...Msameheni bure huyu Buchanan wakati ukifika atajifunza. ..there is no permanent situation.
bora mchawi kuliko mnafiki huyu Buchunan ni mgonjwa akili hajui anachokiandika kabisa naunga na wewe kumdharau na kumupuzia kuanzia leoKati ya watu niliokuwa nafikiri wana busara kidogo ni huyu Buchanan lakini kwa post hii umejiacha uchi, unaonyesha ujitambui na hujui nini mahudhui ya UKAWA.
Tiba
Tatizo lenu mnawaza kivyama zaidi! Ukifuatilia Post zangu za huko nyuma utasema mimi ni CHADEMA damu damu, kumbe mimi nafuatilia hoja na kuiunga mkono au kuikataa bila kujali imeletwa na nani. Mnaofia vyama nawapa pole sana!and you call this thread??
hakika kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.