Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya "Rasimu?"
Tatizo lenu mnawaza kivyama zaidi! Ukifuatilia Post zangu za huko nyuma utasema mimi ni CHADEMA damu damu, kumbe mimi nafuatilia hoja na kuiunga mkono au kuikataa bila kujali imeletwa na nani. Mnaofia vyama nawapa pole sana!
Hiyo kitu inaitwa serikali 2 iko kwenye rasimu ya Warioba? Acha kujilipua wewe!!!!
Tiba
haaa haaaa
what a disgraced moderator .....
The Beautiful Tanzania Is Never Urs Forever,Take Or Leave ItBuchanan said:Wakirudi Bungeni ndio nitawaelewa!
Kwani UKAWA hawako kwenye "denial state?"Tiba
Ifike wakati tuanze kuwaelewa CCM na Watetezi wao. Hawa jamaa wako kwenye 'denial state'. HakunaGa state mbaya ambayo mwanadamu anajipata kama 'denial state'. Humphrey Polepole ni miongoni mwa wanaumizwa sana na hii denial state ya CCM. Hatujui watabaki kwenye hii hali mpaka lini.
Hivyo kuna mawili
1. Tuwaache waendelee kujiumiza na hii denial, sisi tufanye yetu
2. Tuwaelimishe ili walau wafike kwenye 'acceptance state' ili tuendelee na safari pamoja.
Kuitambua 'denial state' ya CCM na WanaCCM kutarahisisha safari inayoonekana ni ndefu na ngumu.
Tuseme hujawahi kusikia kuwa mwanamke kahongwa na mwanaume au unatuzingua tu mkuu! Au tuseme hujawahi kusikia kuna watu wanajiuza?
Kwani UKAWA hawako kwenye "denial state?"
Mwoga ni yule anayeogopa vitu viwekwe hadharani! Mbona unataka kubadili mambo hapo?
UKAWA wangekuwa na bongo wangekuwa wanazurura vijiweni
"kushtaki kwa wananchi?"
Kila jambo na wakati wake! UKAWA wanatakiwa Bungeni wao wako busy na "kushtaki kwa wananchi!" Hawajui kuwa muda wa kwenda kwa wananchi bado haujafika. Hizi ni dalili za woga aisee!
sovereignty is from the people, bila kushirikisha umma uliotoa mmalaka inaamaanisha hakuna serikali.
imekuaje jambo la kutumia akili ndogo ya darasa la 3 imekushusha hadhi kiasi hichi??
Uchaguzi mkuu ni tofauti na Katiba! Hao wananchi mnaodhani mnawapenda sana wanataka waone kwa uwazi kabisa misimamo yenu ni ipi!kwanini uchaguzi mkuu hatupigi kura za wazi?
unahitaji kusoma sana kuhusu demokrasia na aina zake na application zake.
otherwise unasumbuliwa na mahaba ya kiuchama.