Ajabu na Kweli, Eti UKAWA Wanaogopa Kununuliwa na CCM

The Beautiful Tanzania Is Never Urs Forever,Take Or Leave It
UKAWA wanataka kugawanya nchi yetu, tuwapinge kwa nguvu zote!
Wao ukiwadodosa sana wanadai kuwa "wanaimarisha Muungano!"
Ni wanafiki hakuna mfano!
 
Wewe ndo msemaji wa UKAWA? Mbona msimamo na sababu zao zinajulikana wazi, sasa hii unayoeleza umeitoa wapi? You can fool some/all the people for some time; but you can't fool all the people all the time.
 
Wanaogopa kununuliwa, only that! Hizo zingine ni sarakasi tu!
 
kawaelimishe kile kikundi cha ukawa kiheshimu kazi waliyopewa kwa mujibu wa sheria!

nadhani sasa utapata kunielewa nilichokisema kipindi kile ccm ni genge la wahuni no katiba mpya mpaka ukawa wakisha kabidhiwa nchi
 
Ukawa ni wachumiatumba wanajifanya kutumia sisi wanchi kama shield ili wafanikishe mambo yao wameliwa!
 
UKAWA wanataka kugawanya nchi yetu, tuwapinge kwa nguvu zote!
Wao ukiwadodosa sana wanadai kuwa "wanaimarisha Muungano!"
Ni wanafiki hakuna mfano!

Mi nilichokua najua walisema ni watetezi wa wananchi baadae nikaona wanaanza kujichanganya kumbe hata wewe umewashtukia?
 
endelea kupiga kelele mwizi tunamfukuza kimya kimya
UKAWA hamuwafahamu vizuri. Hawa ni watu wachache wenye uchu wa madaraka hata kuliko vyama vingine wanvyovisingizia. Ukitaka kuwafahamu vizuri angalia wenyeviti wao walivyokaa madarakani na wengine wamevunja rekodi katika kugombea urais. Hebu subiri kidogo unisikilizie watakavyoanza kupingana a kupigana vikumbo kwenye majimbo. Kwenye Urais huko ndo balaa. Kwamfano Chadomo wanajiona ni bora kuliko vyama vyote vya upinzani. Cufuri wanajiona mwalim mkuu wao profeza Lee- Pumba ndiye anafaa kuwa Rais na ndo mana kagombea zaidi ya mara nne urais na naishia kuokoteza vikura viwili vitatu. Achana na wachumia tumbo hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…