Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Duuuh hapo sasa lakini mi nikawa najua verified member ni mtu na akili zake bana...
Wewe wewe acha tu an nakuta jamaa daah ngoja nitulie ila watu humu unafiki mwingi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naomba nidokezee kdg Dogo ake, si unajua napenda ubuyuu, hata PM niambie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naomba nidokezee kdg Dogo ake, si unajua napenda ubuyuu, hata PM niambie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeeeh hapana mi sisemagi sis hata kidgo nishawahi ona mnamchamba mtu humu aiseeee nikaogopa mi huwa naskilizaga tuu sichangii kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weeeeh hapana mi sisemagi sis hata kidgo nishawahi ona mnamchamba mtu humu aiseeee nikaogopa mi huwa naskilizaga tuu sichangii kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Em acha uoga, nidokezeek kdg tuuh.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kwani ulishabadili jinsi yako? Nakuuliza kwa sababu nakufahamu kitambo Sana na tulishakutana maeneo ya mbeya mjini. Wewe ni mvulana usituchote akili hapa.
 
Tukapoa banaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema juzi kato hapo nikapata salam zako kwa coca ndo napanga nije kumuona huyo dogo
Ila Dogo una shida, ko kachanga na mamaye uliwatelekeza? Bills za maternity leave kalipa nani?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani halafu hawaogopi...wanatongoza na wanajua kuhonga kuliko wanaume
Kuna mmoja alihaidi nikimkubalia ananipa card yake ya bank niwe nafanya shopping
Mi mwenyewe nikikupenda nakupa kadi ya benki.

Pesa kitu gani bana, utamu ndo kila kitu
 
Kwani ulishabadili jinsi yako? Nakuuliza kwa sababu nakufahamu kitambo Sana na tulishakutana maeneo ya mbeya mjini. Wewe ni mvulana usituchote akili hapa.
Kumeanza kuchangamka sasa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Majiraniiiii hukuuu, woiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…