Ajali Barabarani: Chuma juu ya chuma

Ajali Barabarani: Chuma juu ya chuma

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
FA8nhWOXMAYv40q.jpeg
 
Khaa!!

Hatari sana, sasa hapo sijui nani alikuwa na kosa...

Inavyoonekana kuna aliyekuwa aki overtake halafu hamadi akakutana na vyuma vimewaka...
 
Barabarani kunatisha sana..
 
Cruse ,angalia imefata nn upande huo hapo lazima overtaking imesumbua

Ni Patrol hiyo...

Impact ya kugonga/kugongana inaweza ikazalisha reaction usiyotarajia...

Hii ndio dhana yangu hapo ni kwamba Patrol alikuwa anatokea upande A kwenda upande B akiwa ana overtake au ndio kaitoa gari kuovertake pasipo kuchungulia mbele...

Basi na hiyo gari ndogo walikuwa wanatoka upande B kwenda A na ama walikuwa mwendokasi au mmojawapo alikuwa kasi, hakukuwa na nafasi ya kujiokoa baada ya kuona Patrol kuja upande wao hivyo ikatokea ajali ya uso kwa uso baina ya Patrol na gari nyeusi, huku basi likiigonga gari nyeusi kwa nyuma kwa impact ya breki...uzito wa basi ukasababisha gari ndogo ipate impact kubwa zaidi
 
mwenye gari nyeusi unaweza kuta alitoka nyuma aki overtake bus, na muda mfupi sana baada ya over taking anakutana na patrol na yenyewe ilikuwa ina overtake ikiwa na speed kali...
mwenye gari nyeusi anafunga breki ghafla, bus na lenyewe kwa sababu lipo nyuma kidogo ya gari nyeusi baada ya ku ovatekiwa, linafunga breki na kujikuta limepanda juu ya buti ya gari ndogo nyeusi...
patrol na yenyewe inajitahidi kufunga brake lakini its too late tayari anagongana uso kwa uso na gari nyeusi...
Mwenye gari nyeusi inaonekana alijitahidi kukwepa kwenda huku kwenye mfereji lakini haikusaidia,
Halafu hawa jamaa wenye Patrol na hizi Vx v8, asee wanakimbiza sana gari safarini, yaani hizi SUV huwa zinapita kama upepo, mfano hii Patrol pasipo bus ilikuwa inarukia upande wa pili...
nimejitahidi tu kutafakari tokana na picha...
asee ajali tuzisikie tu... pole kwao wote majeruhi mungu ajaaliye wapone waendelee na majukumu..,
 
Polisi siku hizi hawaangaiki na spidi za magari wameamua kuwa kimya.
 
Back
Top Bottom