Ajali Barabarani: Chuma juu ya chuma

Ajali Barabarani: Chuma juu ya chuma

Uliangalia hii video Kuna kitu utajifunza ukiwa barabaraniView attachment 1964726
Hii basi ya wapi ?

Hii tabia ya kukimbizana tena kwa spidi kubwa kwa kufuatana nyuma kwa gap hata ya Mita 5 mpaka 10 Ndio style ya udereva wa kisasa uwezo wa kufikiri haupo kabisa hawezi kujua lolote likitokea nafasi ya kurekebisha inakosekana .

Hapo dreva Anakuambua anakimbiza awahi kufika akalale na ma...ya gesti.

Gap yake na lori ilikuwa ndogo kiasi alikuwa haona mbele ya lori kuna nini mpaka akawa anainamia kuchungulia pembeni akashindwa kumiliki gari.

Mgongano wa kwanza na lori akakwepesha upande wake usiumie waumie upande mungine Ndio akakutana na basi ukawa mgongano wa pili kwa vyovyote aliadhirika.

Inasikitisha abiria wananyamaza kimya kwa uoga huku mtu mmoja akifanya uhuni wa kusababisha hatari atakavyo tena kwa uzembe wa makusudi
 
gepu la wembe wenyewe wanajiita wataalamu wa bampa to bampa. Unatoa wapi ujasiri wa kuovertake ikiwa mbele huoni?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii basi ya wapi ?

Hii tabia ya kukimbizana tena kwa spidi kubwa kwa kufuatana nyuma kwa gap hata ya Mita 5 mpaka 10 Ndio style ya udereva wa kisasa uwezo wa kufikiri haupo kabisa hawezi kujua lolote likitokea nafasi ya kurekebisha inakosekana .

Hapo dreva Anakuambua anakimbiza awahi kufika akalale na ma...ya gesti.

Gap yake na lori ilikuwa ndogo kiasi alikuwa haona mbele ya lori kuna nini mpaka akawa anainamia kuchungulia pembeni akashindwa kumiliki gari.

Mgongano wa kwanza na lori akakwepesha upande wake usiumie waumie upande mungine Ndio akakutana na basi ukawa mgongano wa pili kwa vyovyote aliadhirika.

Inasikitisha abiria wananyamaza kimya kwa uoga huku mtu mmoja akifanya uhuni wa kusababisha hatari atakavyo tena kwa uzembe wa makusudi
Yaani kafanya kosa la kijinga Sana na sidhani Kama ametoka salama. Asingekuwa karibu sana alikua na uwezo wa kutoka kulia na madhara yangekuwa madogo
 
Back
Top Bottom