mwenye gari nyeusi unaweza kuta alitoka nyuma aki overtake bus, na muda mfupi sana baada ya over taking anakutana na patrol na yenyewe ilikuwa ina overtake ikiwa na speed kali...
mwenye gari nyeusi anafunga breki ghafla, bus na lenyewe kwa sababu lipo nyuma kidogo ya gari nyeusi baada ya ku ovatekiwa, linafunga breki na kujikuta limepanda juu ya buti ya gari ndogo nyeusi...
patrol na yenyewe inajitahidi kufunga brake lakini its too late tayari anagongana uso kwa uso na gari nyeusi...
Mwenye gari nyeusi inaonekana alijitahidi kukwepa kwenda huku kwenye mfereji lakini haikusaidia,
Halafu hawa jamaa wenye Patrol na hizi Vx v8, asee wanakimbiza sana gari safarini, yaani hizi SUV huwa zinapita kama upepo, mfano hii Patrol pasipo bus ilikuwa inarukia upande wa pili...
nimejitahidi tu kutafakari tokana na picha...
asee ajali tuzisikie tu... pole kwao wote majeruhi mungu ajaaliye wapone waendelee na majukumu..,