Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake.
Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni mwa ajali huku akiwa hajitambui.
Maafisa wa jeshi la polisi wamefika eneo la tukio.
Taarifa zaidi watazitoa wenye mamlaka