Ajali iliyoua wanafunzi Mtwara, Haice ilikuwa na watu 30. Haice inaruhusiwa kubeba abiria wangapi?

Kwani hujui bongo magari yanaoverload mizigo na abiria?
 
Hata mwendo wa mabasi yetu ni hatarishi Sana, mabasi ni majeneza yanayotembea. Sijui speed limit iliishia wapi??
 
Mkuu speed sio tatizo mama,hawa politicians na watendaji wasikufanye na wewe uwe unapenda majibu rahisi, tatizo letu barabara zetu ni mbovu, magari mengi yapo unroadworthy, overloading, law enforces wengi wana cancer ya rushwa, miaka ya 80s buses hasa route ya Dar to Iringa yalikuwa yanatumia 10hrs kwa sababu barabara zilikua Safi, na matengenezo Safi,nakumbuka bus za railways zilikuwa zikifika mikumi lazima ziende garage zikaangaliwe,utaratibu huu ulikua ni standard na zile za kwenda mbeya na kyela lazima zikaguliwe tena pale Iringa workshop, nini kiliua hili shirika na standard hizi ni debate for another day, Speed SIO tatizo pekee otherwise wasingetuwekea speed ya 200 kwenye magari
 
Sheria ya usalama wa bara barani inawahesabu watoto wawili (nadhani)wa umri wa chini ya miaka 13, kama mtu mzima mmoja.
Wakisema gari inabeba 16 pgs, maana yake gari hiyo inabeba 32 pgs kama hao pgs ni watoto.
 
Uhai wako sio jukumu la serikali hii ya awamu ya sita. Jukumu lao ni kuchochea mfumuko wa bei.
 
Kuwapoza jamaa wametumia lugha laini inayoeleweka kwamba BREKI ZA GARI ZILIFELI kwasababu dereva kafa. Angepona ungesikia NI UZEMBE WA DEREVA na wangesema yupo chini ya ulinzi kuwapoza wazazi

Mmiliki wa King David school atakua mtu mkubwa Serikalini, wamemuulia soo la wazazi kuhamisha watoto
 
Polisi wana kazi gani humu nchini !? Subiri uchaguzi. Wataishia kubadilisha ma IGP tu. No changes
 
RTO Mtwara watanzania wanasubiri majibu ya swali hili.
Askari hawakuiona
Walikiwa busy kula usawa wa kamba yao.
Kama Arusha yaani wamejaa huko barabarani kutafuta kitu kidogo. IGP ana kazi ya ziada kurudisha heshima ya polosi.
Au labda wame tumwa kukusanya pesa za kumuaga Siro na kimkaribisha IGP mpya. Maana hii Arusha nimeamua kutembea kwa mguu na kuachana na gari.
Kama gari haina kosa una ombwa hela ya chai.
 
Kuna wapuuzi wengi sana huwa wanashangilia ligi za mabasi barabarani
Hata mwendo wa mabasi yetu ni hatarishi Sana, mabasi ni majeneza yanayotembea. Sijui speed limit iliishia wapi??
 
Mkuu speed sio tatizo mama,hawa politicians na watendaji wasikufanye na wewe uwe unapenda majibu rahisi, tatizo letu barabara zetu ni mbovu, magari mengi yapo unroadworthy, overloading, law enforces wengi wana cancer ya rushwa, miaka ya 80s buses hasa route ya Dar to Iringa yalikuwa yanatumia 10hrs kwa sababu barabara zilikua Safi, na matengenezo Safi,nakumbuka bus za railways zilikuwa zikifika mikumi lazima ziende garage zikaangaliwe,utaratibu huu ulikua ni standard na zile za kwenda mbeya na kyela lazima zikaguliwe tena pale Iringa workshop, nini kiliua hili shirika na standard hizi ni debate for another day, Speed SIO tatizo pekee otherwise wasingetuwekea speed ya 200 kwenye magari

Sasa kama barabara ni mbovu kwanini uende speed ya barabara nzuri?
 
Hata mwendo wa mabasi yetu ni hatarishi Sana, mabasi ni majeneza yanayotembea. Sijui speed limit iliishia wapi??
Serikali iweke miundombinu bora.
Barabara zetu kwa uzoefu wa madereva wanajitahidi sana kutopata ajali, barabara zetu mbovu.....

Kuanzia Chalinze kuja hadi Kibaha ile barabara ni finyu na mbaya

Kipande cha Igawa hadi Tunduma ni mbaya mno ilitakiwa ipanuliwe
 
Tanzania kuna law enforcement, kila mwezi wanapokea salary lakini bado ajali zipo, magari mabovu yanatembea na dereva wasiokua na vigezo wanazidi kuongeza.
Kuna umuhimu gani kua na traffic police kama hivo vyote vinaongezeka?
Traffic police abakizwe na jukumu la kuongoza magari, Tanroad inapaswa mbadilike hizi barabara za kupishana kwa mstari mweupe katikati mnaita “Highway” wanaotengeneza magari huko Japana hawajui hilo,
Wekeni njia za wakwenda wakwenda, wakurudi wakurudi “double road”
Tuache kuingiza magari chakavu Tanzania, mpaka leo unaingiza gari inatumia CD au Tape recorder mnaita mpya, hizi ni chuma chakavu

Barabarani watafute mzabuni waeke camera amabazo zitakua na kazi ya kucheki speed na kuandika cheti hapo hapo na kutumiwa mmiliki wa gari.

Narudia tena kama ajali bado zipo traafic mbaki kuongoza magari na sio kuvizia makosa
 
Mkuu speed sio tatizo mama,hawa politicians na watendaji wasikufanye na wewe uwe unapenda majibu rahisi, tatizo letu barabara zetu ni mbovu, magari mengi yapo unroadworthy, overloading, law enforces wengi wana cancer ya rushwa, miaka ya 80s buses hasa route ya Dar to Iringa yalikuwa yanatumia 10hrs kwa sababu barabara zilikua Safi, na matengenezo Safi,nakumbuka bus za railways zilikuwa zikifika mikumi lazima ziende garage zikaangaliwe,utaratibu huu ulikua ni standard na zile za kwenda mbeya na kyela lazima zikaguliwe tena pale Iringa workshop, nini kiliua hili shirika na standard hizi ni debate for another day, Speed SIO tatizo pekee otherwise wasingetuwekea speed ya 200 kwenye magari
Speed Kali ndio tatizo kuu la ajali zote zinazotokea nchini !! Kama barabara ni mbovu maana yake ndio hutakiwi kabisa kuendesha kwa speed kubwa !
 
Mkuu speed sio tatizo mama,hawa politicians na watendaji wasikufanye na wewe uwe unapenda majibu rahisi, tatizo letu barabara zetu ni mbovu, magari mengi yapo unroadworthy, overloading, law enforces wengi wana cancer ya rushwa, miaka ya 80s buses hasa route ya Dar to Iringa yalikuwa yanatumia 10hrs kwa sababu barabara zilikua Safi, na matengenezo Safi,nakumbuka bus za railways zilikuwa zikifika mikumi lazima ziende garage zikaangaliwe,utaratibu huu ulikua ni standard na zile za kwenda mbeya na kyela lazima zikaguliwe tena pale Iringa workshop, nini kiliua hili shirika na standard hizi ni debate for another day, Speed SIO tatizo pekee otherwise wasingetuwekea speed ya 200 kwenye magari
Hadhari ni muhimu sana kutunza maisha ya watu ambao wamekabidhi maisha yao uyaendeshe. Barabara za sasa ni nzuri kuliko za zamani zile za vumbi na mchanga. Mwaka 1967 ukitoka Iringa saa 2 asubuhi kamili unafika Dar saa 2 usiku kama gari halijakwama njiani kwenye matope. Vituo vilikuwa Mikumi (saa moja kwa ajili ya chakula), Morogoro na Chalinze (kwa ajili ya chai pale kwenye misufi kwa Mwarabu). Ila safari ilikuwa salama. Dereva wa bus ya Railway alikuwa hakabidhiwi kuendesha bus mpaka awe kaendesha magari ya mizigo, ikiitwa Goods, si chini ya miaka 10 na mshahara wa dereva wa bus wakati huo anawazidi makarani ofisini! Kusafiri ilikuwa raha kama "outing" . Standards (viwango) zilikuwa hazitaniwi kama sasa.

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom