Ajali iliyoua wanafunzi Mtwara, Haice ilikuwa na watu 30. Haice inaruhusiwa kubeba abiria wangapi?

Upo vizuri sana mkuu.
 

Wananchi wenyewe wengi wana simu zenye camera zinazoweza kurekodi madereva wanaofanya uhuni barabarani na kuhatarisha maisha ya watu. Ukirekodi unasambaza kwenye social media, unasambaza whatsapp, unaibandika hapa JF, unasambaza kila mahali mtandaoni. Zitawafikia tuu wanaohusika penda wasipende. Teknolojia tukiitumia vizuri itaweza kutatua matatizo mengi sana kwenye jamii.
 
kwani daladala mjini dar inauwezo wa kupakia watu wangapi? 30 tu. mbona wanajaza 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…