RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kamusi yako haijui neno SIX inajua SEX tuserikali inatakiwa kuziangalia hizi kada za udereva vyema atleast dereva awe na form sex kichwani hawa vilaza wa veta from.4 failer watatumakiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamusi yako haijui neno SIX inajua SEX tuserikali inatakiwa kuziangalia hizi kada za udereva vyema atleast dereva awe na form sex kichwani hawa vilaza wa veta from.4 failer watatumakiza
Kiuhalisia uko sahihi kabisa lakini tutazame hawa ndugu ambao wamehojiwa na vyombo vya habari na kutoa ushuhuda wa maneno aliyotamka marehemu wakati wa uhai wakeUpuuzi ,chanzo ni uzembe wa dereva kuovateki sehemu isiyo sahihi
Tumia hekima ndugu yangu matusi yanini Veta wanao soma ni vilaza? Unajua elimu ya veta ni zaidi ya hicho ulicho andika udereva ni fani ambayo ina itaji umakini hekima na kujiamini mbona ni wengi tu ambao wana elimu uliyo taja au zaidi wana fanya makosa wanasababisha ajali...serikali inatakiwa kuziangalia hizi kada za udereva vyema atleast dereva awe na form sex kichwani hawa vilaza wa veta from.4 failer watatumakiza
Madereva huona vingi sana. Ndugu yetu hajui ulimwengu ukoje.Kiuhalisia uko sahihi kabisa lakini tutazame hawa ndugu ambao wamehojiwa na vyombo vya habari na kutoa ushuhuda wa maneno aliyotamka marehemu wakati wa uhai wake
Fom six Tena unadhani Ni vyeti ndio vinaendesha gar au utimamu wako acha hzo Kuna madereva wako halmshauri Ni maderava wa lasabaserikali inatakiwa kuziangalia hizi kada za udereva vyema atleast dereva awe na form sex kichwani hawa vilaza wa veta from.4 failer watatumakiza
Kama hujui kitu kaa kimya uelimishwe.Marehemu angekuwa na nguvu hiyo angejizuia kifo chake asife.
Imani potofu zimetujaa sana wa Africa
Kama hujui kitu kaa kimya uelimishwe.
Unajua wachaga wanaendaga kwao kila mwaka kufanya nini?
Kuna kabila nchini linalo tii Imani za kitamaduni Kama wachaga.
Kuna Mambo wanayofanywa na wachaga ambayo hata awe rafiki yako hawezi kukuambia.
Mchaga hata aoe muha huko Kigoma, mtoto akizaliwa lazima apelekwe Moshi, unajua Ni kwanini?
Ni hivi: shetani hufanyia kazi mawazo au maneno hasi yasemwayo na binadamu kwani hayo humpa haki ya kuingia kwenye maisha ya wanadamu na kuchinja, kuharibu na kuuwa kama alivyofanya kwa akina Mrema.Wana jukwaa Salaam!
Kwanza natanguliza pole kwa wana ukoo wa Mrema kwa ajali iliyotokea na kuhusisha vifo vya watu zaidi ya 17.
Nimejaribu kujiuliza sana, hasa hii taarifa ya ndugu ambao wanatoa shuhuda kua marehemu alitoa sharti asiende kuzikwa kwao na watakaokaidi ataondoka nao. Mshana jr etc. wenye maarifa zaidi na mambo haya mwageni elimu kuhusu hili. Maana visa vya namna hii viko tele, nyingine nilishasikia kua maiti iligoma kuingia kaburini kwakua haikutaka kuzikwa pale n.k.View attachment 2509626View attachment 2509627
Yes nachopendea chagas wanadumisha mila wakati makabila mengine yakiona ni ushamba na ushirikina..mila zipo na muhimu. Mila zinasaidia mambo mengi sana na kuondosha mabalaa.Kama hujui kitu kaa kimya uelimishwe.
Unajua wachaga wanaendaga kwao kila mwaka kufanya nini?
Kuna kabila nchini linalo tii Imani za kitamaduni Kama wachaga.
Kuna Mambo wanayofanywa na wachaga ambayo hata awe rafiki yako hawezi kukuambia.
Mchaga hata aoe muha huko Kigoma, mtoto akizaliwa lazima apelekwe Moshi, unajua Ni kwanini?
Imani za kusadikikaWana jukwaa Salaam!
Kwanza natanguliza pole kwa wana ukoo wa Mrema kwa ajali iliyotokea na kuhusisha vifo vya watu zaidi ya 17.
Nimejaribu kujiuliza sana, hasa hii taarifa ya ndugu ambao wanatoa shuhuda kua marehemu alitoa sharti asiende kuzikwa kwao na watakaokaidi ataondoka nao. Mshana jr etc. wenye maarifa zaidi na mambo haya mwageni elimu kuhusu hili. Maana visa vya namna hii viko tele, nyingine nilishasikia kua maiti iligoma kuingia kaburini kwakua haikutaka kuzikwa pale n.k.View attachment 2509626View attachment 2509627
Ni IQ za watu wote weusi duniani sio madereva tu yaani watu weusi walitaliwa wawe fisi wa maonyesho tu na wawe na eneo lao kule kalahari desentIQ ya madereva wengi ipo chini mno...kuishia kufanya maamuzi yasiyo sahihi wawapo barabarani.
Ongezea ufinyu wa barabara, hizi 2 lanes ni shidaaa, ziwe walau 3 lanes..Upuuzi ,chanzo ni uzembe wa dereva kuovateki sehemu isiyo sahihi
Kauli za marehemu zinapaswa kuheshimiwa sana kwakuwa afapo si mwili tena bali ni roho na hawezi kubishana tena na waliobaki kuwa mwiliWana jukwaa Salaam!
Kwanza natanguliza pole kwa wana ukoo wa Mrema kwa ajali iliyotokea na kuhusisha vifo vya watu zaidi ya 17.
Nimejaribu kujiuliza sana, hasa hii taarifa ya ndugu ambao wanatoa shuhuda kua marehemu alitoa sharti asiende kuzikwa kwao na watakaokaidi ataondoka nao. Mshana jr etc. wenye maarifa zaidi na mambo haya mwageni elimu kuhusu hili. Maana visa vya namna hii viko tele, nyingine nilishasikia kua maiti iligoma kuingia kaburini kwakua haikutaka kuzikwa pale n.k.View attachment 2509626View attachment 2509627
Asingeweza kujizuia kufa kwakuwa alishaweka nia ya kufa kwa kusema NIKIFA....Marehemu angekuwa na nguvu hiyo angejizuia kifo chake asife.
Imani potofu zimetujaa sana wa Africa
Kesho yake mzee akafariki; kijana akajiunga na ndugu wengine wa DSM wakapanga na kulazimishia kupeleka msiba na maziko nyumbani Rombo kinyume na matakwa/wosia wa marehemu; wengine walipinga kwa kukubali wito wa marehemu kuzikwa Dar maana hakutaka kuzikwa Rombo.Copy and Paste.
Leo niwashirikishe jambo kuhusu ajali iliyotokea Tanga na kuua watu kumi na saba.
Marehemu aliyekuwa anasafirishwa ni Baba wa miaka 60+, alihamia Dar miaka nane iliyopita akajenga na kufanya biashara zake.
Alipokuwa kijana alioa mwanamke aliyekuwa tayari na mtoto mmoja wa kiume, kwa wakati huo ilikuwa ni aibu sana kuoa mwanamke aliyezaa nyumbani. Sina uhakika kama alipata mtoto mwingine na yule mama ila alimlea kijana aliyemkuta naye kama mwanaye wa kumzaa, akamsomesha hadi akafika chuo kikuu wakiwa Rombo.
Kutokana na upendo kupungua mama hakumheshimu baba tena uzeeni na kijana akaja kujua kumbe yule siyo baba yake wa kumzaa.
Mama akampeleka kijana kwa baba yake akiwa mwaka wa tatu chuo kikuu na kijana akahamia kwa baba yake kiasi kikubwa bila kumuonesha upendo baba mlezi aliyemlea na kumhudumia.
Baada ya kijana kupata kazi alihamia Dar na hakutaka mawasiliano tena na baba yake mlezi, jambo lililomuudhi sana baba yake huyo.
Baada ya mama kuwa haelewani na baba, baba aliamua kuhamia DSM na kuanza maisha upya na pia akamwambia yule kijana kwa sababu hataki kumpa heshima basi afanye maisha yake na kila mtu ashike hamsini zake.
Mzee aliugua na alipokuwa amelazwa Mloganzila kijana akaenda kumuona;
Mzee alikasirika sana na akamwambia alishamueleza kila mtu ajuane na maisha yake mwenyewe.....na pia akamwambia hata akifa asije kumzika maana alikosea na kumsononesha sana.
Kesho yake mzee akafariki; kijana akajiunga na ndugu wengine wa DSM wakapanga na kulazimishia kupeleka msiba na maziko nyumbani Rombo kinyume na matakwa/wosia wa marehemu; wengine walipinga kwa kukubali wito wa marehemu kuzikwa Dar maana hakutaka kuzikwa Rombo.
Safari ililazimishwa, lakini hatima yake ikaishia Korogwe, kwa kila aliyepinga kauli ya marehemu kupoteza uhai pale ajalini. Kijana aliyelelewa na marehemu alikuwa na wanaye wawili wote pia walifariki pale pale.
Sisi tupo level gani ya maamuzi kwenye familia?..... hivyo tusidharau mambo, hasa yale yanayokuwa na sababu na pengine sababu hizo zimefikiwa kwa uchungu mkubwa wa akili na moyo, tena bila madeko....uchungu wenye haki!
Nilibaki tu kuwatazama na kutafakari mengi nikijua hawajui mengiMshana alishaliongelea hili siku ile ya ajali ila Kuna wale wenye kingereza cha ugoko wakaleta ujuaji wakati hayo mambo Kuna watu Wana maarifa nayo kama mshana ...Scenarios kama izo zishatokea sana na watu waliokufa baadhi ya jamii wanatambua nguvu za usia wa marehemu na wanapoenda against kama hao lazima wapate kichapo cha maana.