Ok ndugu tunashukur kwa taarifa.Sina uhakika sana zaidi ya kuona lori lililopinduka ubavu, naamini waliokuwemo hawajapata madhara...
Trafiki wapo maeneo hayo kuongoza magari
Lile sio la kutolewa leo, labda wataangaika nalo usikusasa ndio nataka kuchomoka mjini na naomba kujua kwa aliyekuwa maeneo hayo vipi wameshalitoa? Ama nitafute njia mbadala
Hivi kama hapo unapindukaje?