Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ufunuo wa yohana 14.13 Inasema,

Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam ,asema Roho,wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.


Kazi kwenu sasa!
Sure for sure
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-01-00-36-33~01.png
    908 KB · Views: 121
  • Screenshot_2016-02-01-00-38-14~01.png
    644 KB · Views: 147
  • Screenshot_2016-02-01-00-39-50~01.png
    442 KB · Views: 110
  • Screenshot_2016-02-01-00-42-45~01.png
    638.2 KB · Views: 99
Usinywe kabisa mungu amekataza
 
halafu hii tabia ya wanaume kuchonga nyusi inakera kweli kweli...anyway Rip mtoto wa watu.
 
Marehemu amekufa kizembe,
1. Mwendokasi.
2.hakufunga mkanda.
3. Alikuwa amelewa.
Alale mahali alipojichagulia..
 
Marehemu amekufa kizembe,
1. Mwendokasi.
2.hakufunga mkanda.
3. Alikuwa amelewa.
Alale mahali alipojichagulia..
samurai /
sema pia siku yake ilifika!
kifo kinapomfika mja kibinadamu hatuiti usembe!/
ni mpango wa mungu!
kwa unaweza hata kukaa ndani ukajifia tu taratibu kwa Ngiri.
 
samurai /
sema pia siku yake ilifika!
kifo kinapomfika mja kibinadamu hatuiti usembe!/
ni mpango wa mungu!
kwa unaweza hata kukaa ndani ukajifia tu taratibu kwa Ngiri.




Kweli Mkuu alale alipojichagulia....na si mpango wa Mungu huo ni mpango wake mwenyewe
 
Nani aliyetoa taarifa kwamba marehemu alikuwa anaendesha gari akiwa amelewa?
Tatizo la watu wengi wanpenda sana kuhukumu wenzao kwa makosa ambayo hata wao wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…