Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Unafiki wa hali ya juu, kila baada ya saa wanatupia selfie kuonyesha wanalia zaidi. Hizo captions sasa " Umeondoka jamani nani ataniambia nimependeza", "nani nitaenda escape1".
🙂🙂🙂🙂🙂 umenifanya nicheke hahaha
 
Kweli kafa kifo kibaya sana
 
Kumbe ndio zake eeeh! Sitaki kuamini mahaba yote anayonionyesha mwisho wa siku supu haitanyweka🙁. Asprin , sema neno moja tu na roho yangu itapoa.
 
halafu mashine 6cylinder
cc3000
speed 120Km/h
mkono wa kushoto umepima oil na kukuta moto
kuna nguzo itabaki barabarani?
RIP Dogo
samahani mkuu kupima oil ni nini twende pamoja.
 
Aiseee
We ndio umetoa new info leo
 
Du
KK alimkamata mwana semester ya mwisho kisa alikuwa anaruka na dogo wa mshikaji wake, kilichompata anakijua mwenyewe.
duh nijuze braza log, malecture pale nao Ni balaa, kwa hiyo hajapona had Leo?
 
POST HII MUHIMU
RATIBA YA KUUWAGA MWILI WA MPENDWA WETU CALVIN NICOLAUS KAVISHE (KALOOSH)

KESHO SIKU YA JUMATANO
Saa 9:30am:Kuuchukua mwili wa marehemu kutoka Muhimbili Hospital.

Saa1O:30am:Watu wote kushiriki misa ya kumuombea Mpendwa wetu katika kanisa la St Thomas Mbezi Beach.

Saa11:30pm:Watu wote kushiriki zoezi la kuuwaga mwili wa marehemu kanisani.

Saa1:30pm:Kuanza safari ya kuelekea Rombo kuupumzisha mwili wa mpendwa wetu Kelvin Kaloosh

UJUMBE HUU NI MUHIMU SANA RUKSA KUSHEA NA KUWAJULISHA MARAFIKI WA KARIBU WA KALOOSH NA WENGINEO..
 
Tangia Lini TANDALE Ikawa Marekani?
Mkuu nlipita hapo social service naona wametuletea kichwa kipya na lile jembe linapigisha darasa chuoni kule daaah nkazan wangekupa wewe ulaji bana au na nyie mna uvatican na ukanda???
 
Hutu marehemu kama hajulikani na lemutuz akili kubwaz bas hakuwa celebrity town..lemutuz ndio TBS wa macelebrity ukiona mpaka sasa hajapost msiba wake jua alikuwa wa kawaida ..rip
 
Huyo SayMaria atakuwa Kama Lulu Kama Boyfriend wake wa kwanza alifariki kwa ajali na Huyu wa pili kwa ajali halafu zote yeye anatoka mzima basi ni hatari kwa ma future boyfriends.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…