Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Huyo SayMaria atakuwa Kama Lulu Kama Boyfriend wake wa kwanza alifariki kwa ajali na Huyu wa pili kwa ajali halafu zote yeye anatoka mzima basi ni hatari kwa ma future boyfriends.
Devil's advocate hata hata yaweza kuwa ni malaika wa kifo
 
Mkuu umesema kweli kabisa kuhusu uzembe uliokithiri yaani watu wasipobadilika hakuna tutakaposogea ktk maeneo mengibya maisha! na kwa style hii tulio nayo waafrika wengi ya kuisingizia bahati mbaya ndo maana hatuendelei! we must change our thinking pattern!! mfano hizi habari za ajali za mabasi asilimia kubwa sana ni uzembe!! utakuta dereva anaendesha basi mwendokasi sana, abiria wanamshangilia tu then ajali inatokea watu wanaanza mara siku ilifika mara ndo ilipangwa wafe kwa ajali! yaani hadi mtu unashangaa kuwa hivi huyu dereva aliyekuwa anaenda mwendo kasi au anaovertake sehemu ya hatari alitaka aje aambiwe na malaika? mfano mdogo angali kwa mji dar taa nyekundu zikiwaka ndo utadhani umewaambia watu piteni! ajali ikitokea utasikia bahati mbaya!I hate this kind of uzembe in the name of bahati mbaya!!
 
Mungu mwacheni aitwe Mungu yani mtu anaishi stress free mpaka kifo...unatoka kula bhata unapata ajali habari inaishia hapo
Wakati kuna wengine wanaugua na kuumwa sana huku hata hela ya matibabu au lishe vikiwa ni shida mpaka unakufa
mtazamo adimu
 
hoja yako ni nini hasa?
Mkuu una matatizo ya kisaikolojia nakushauri uwaone wataalamu mapema wakusaidie,unataka hoja yangu ikusaidie nini kwa mfano,kwa lipi kubwa lilikufinya ubongo wako uliojaa stress za ajabu ajabu chill out usitafute mtu wa kumpelekea matatizo yako ya msongo wako wa mawazo
 
mtu kachekesha nikacheka. yeye yuko kimya wewe ndo kunijia na mambo yasiyoeleweka. kwa hizi sentensi nyingi ulizoandika naona wewe pia unahitaji kuwaona wataalamu mapema wakusaidie. mimi pia naweza kukusaidia kwa kukuruhusu kuendelea kunitolea maneno. inaweza kukusaidia ku-release tension kwa muda. basi nijibuuu mpaka uone unapata nafuu.
 
Lipi ambalo hujaelewa labda tuanzie hapo au wanakutafuna una mambo ya kike kike
 
Lipi ambalo hujaelewa labda tuanzie hapo au wanakutafuna una mambo ya kike kike
lipi ambalo hujaelewa labda tuanzie hapo au wanakutafuna maana una mambo ya kibwabwabwabwa. endelea mpaka upate ahueni
 
Watu watamuogopa basi, mana kama huyu ni wa pili halafu wote wameondoka na ajali ye anasalimika ni Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…