Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Hahaha kifo hakina mwenyewe na hakuna anaye jua huyu jamaa alikumbwa na ajali kivipiNa Pia TUACHE SIFA ZA KIJINGA R.I.P.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kifo hakina mwenyewe na hakuna anaye jua huyu jamaa alikumbwa na ajali kivipiNa Pia TUACHE SIFA ZA KIJINGA R.I.P.
Pamoja na kifo chake,tuliobaki tunajifunza nini...???
Hii ni dalili kuwa si madem wote wakali wanamjua kama mtoa taarifa alivyojaribu kutuaminisha.Ni nani.......?......
Na kuheshimu sheria za barabarani R.I.P.
Huwa najiuliza ivi inawezekana mtu akaendesha speed 180 dar? Kwa barabara ipi na kwa umbali gani? Ajili za mwendo kasi dar bado zinanishangaza sana kwakweli huu udereva wa kuletewa leseni nyumban unatabu..!!Hiyo gari Nissan Teana ni tafsiri sahihi ya kile kitu wanaita "A road Beast" kila ukiingia barabarani inakushawishi kumaliza speedometer, madereva wa Dar es Salaam inabidi tujifunze kwamba hakuna barabara ya mwendo kasi hapo mjini. Hata kwa barabara za mikoani, usalama bado ni mdogo sana, tuendeshe kwa kufuata sheria za barabarani.
ndio maana niliamua kuuza benzi langu
marehemu inaonekana kaacha folen kwa dada zetu
Alikuwa Producer wa mziki? Mbongo Flavor? Promoter? Au Mfanyabiashara Design ya Kina Kinje,Abdul Zeze,Kanyau,Rumishael? Nini kilichomfanya ajulikane na kina masogange,kadinda,wolper,Young D?
Tunafahamiana vizuri sana na huyo mzee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Leo Nimeshajua Kwanini Stories Zako Nyingi Ni Za KIUCHAWI UCHAWI.
View attachment 320438
Alaaaaa kumbe ndo maana huyu demu leo alijipost insta akiwa analia...
dogo alikua dalali wa mademu wakali town, ndo maana wanamlilia sana, yaani ukimtaka sijui mbongo muvi gani anamkuletea, mpunga wako tu,
Huyu ni dogoKuna yule aliekuwa ana tuhumiwa kumega eneo kw kujenga maduka na kukikarabati kituo cha polisi karibu na Mwananyamala Hospital...
Alikuwa anaitwa nani?
Mbona kama jina linafanana la huyo Marehemu?
Msamehe bure! Nadhani katika maisha kosa la A linasaidia B kujirekebisha, hivyo hata kama ametutoka lakini makosa yake au kilichomfikia hapo kinaweza kusaidia wengine tukajifunza ili lisitokee tena. Hivyo kuelezea maisha yake ni fundisho kwa wengineOook......RIP kijana.........lakini nataka nijue......alikuwa milionea.....?........
ndio kama naiona hapa imemziba japo ametoka damu nyingi nadhani kuna kitu chenye ncha kali kilimchoma kichwaniKazi ya airbag nini wakuu na inaweza kuzuia ajali kwa asilimia ngapi?? Kwenye hilo gari lilikuwa na airbag?
Thanx kw replied Mkuu Mshana Jr. Cjakusoma ni dogo huyo au unazungumzia khs si yy coz ya umri wake!Huyu ni dogo