Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

Ni nani.......?......
Hii ni dalili kuwa si madem wote wakali wanamjua kama mtoa taarifa alivyojaribu kutuaminisha.
Mtoto mkali kama wewe na humjui a.k.a amekukosa!,maana mi ningekuwa after mademu,yaani ningeanza na kumaliza na wewe kwa ukali ulionao
 
Hiyo gari Nissan Teana ni tafsiri sahihi ya kile kitu wanaita "A road Beast" kila ukiingia barabarani inakushawishi kumaliza speedometer, madereva wa Dar es Salaam inabidi tujifunze kwamba hakuna barabara ya mwendo kasi hapo mjini. Hata kwa barabara za mikoani, usalama bado ni mdogo sana, tuendeshe kwa kufuata sheria za barabarani.
Huwa najiuliza ivi inawezekana mtu akaendesha speed 180 dar? Kwa barabara ipi na kwa umbali gani? Ajili za mwendo kasi dar bado zinanishangaza sana kwakweli huu udereva wa kuletewa leseni nyumban unatabu..!!
 
Kazi ya airbag nini wakuu na inaweza kuzuia ajali kwa asilimia ngapi?? Kwenye hilo gari lilikuwa na airbag?
 
Nimesoma kurasa zote 23 sijaona sehemu mkimuelezea aliekufa alikuwa ni nani uko Tanzania zaidi karibu wote naona ni kukopy na kupaste kutoka Instagram haya ngoja tuseme R.I.P tu kama wengine ila Pombe sio nzuri.
 
Alikuwa Producer wa mziki? Mbongo Flavor? Promoter? Au Mfanyabiashara Design ya Kina Kinje,Abdul Zeze,Kanyau,Rumishael? Nini kilichomfanya ajulikane na kina masogange,kadinda,wolper,Young D?

Alikuwa PRODUCER MAARUFU NA ALIYETUKUKA WA " K ".
 
Kuna video iko kwa Whatsapp warembo wazuri kweli wanalia aisee, wanasema ni ajali imetokea jana usiku gari imevamia nguzo ya umeme!! Dah warembo wanalia balaaa... pole zao aiseee kama ndio hio lakini
 
Kuna yule aliekuwa ana tuhumiwa kumega eneo kw kujenga maduka na kukikarabati kituo cha polisi karibu na Mwananyamala Hospital...
Alikuwa anaitwa nani?
Mbona kama jina linafanana la huyo Marehemu?
 
dogo alikua dalali wa mademu wakali town, ndo maana wanamlilia sana, yaani ukimtaka sijui mbongo muvi gani anamkuletea, mpunga wako tu,

Malalamiko Ya Moyoni Yaliyojaa MAUMIVU Ya Wenye Hao MADEMU au WAKE Zao Hatimaye Mwenyezi Mungu AMEWAJIBIA. Watu WANAHANGAIKA KUWATUNZA WEWE UNAWAIBIA NA KWENDA KUWAUZA. Hakika Nimeamini Sasa Kuwa Kumbe 100% Malipo Huwa Ni Hapa Hapa DUNIANI.
 
Kuna yule aliekuwa ana tuhumiwa kumega eneo kw kujenga maduka na kukikarabati kituo cha polisi karibu na Mwananyamala Hospital...
Alikuwa anaitwa nani?
Mbona kama jina linafanana la huyo Marehemu?
Huyu ni dogo
 
Oook......RIP kijana.........lakini nataka nijue......alikuwa milionea.....?........
Msamehe bure! Nadhani katika maisha kosa la A linasaidia B kujirekebisha, hivyo hata kama ametutoka lakini makosa yake au kilichomfikia hapo kinaweza kusaidia wengine tukajifunza ili lisitokee tena. Hivyo kuelezea maisha yake ni fundisho kwa wengine
 
Kazi ya airbag nini wakuu na inaweza kuzuia ajali kwa asilimia ngapi?? Kwenye hilo gari lilikuwa na airbag?
ndio kama naiona hapa imemziba japo ametoka damu nyingi nadhani kuna kitu chenye ncha kali kilimchoma kichwani
 
Back
Top Bottom