Ajali tano kubwa zaidi zilizowahi kutokea Tanzania

but zipo baadh kubwa ujaandika kama ile ya tanker ya mafuta moro msamvu iliua weng tu sana
 
Ajali ya moto kule Mbeya na Morogoro kutokana na watu kuchota mafuta baada ya gari la mafuta kuanguka
 
but zipo baadh kubwa ujaandika kama ile ya tanker ya mafuta moro msamvu iliua weng tu sana
Ajali ya moto shauritanga sec, pia ajali ya treni ilitokea miaka ya tisini mwanzoni mkoa wa Moro baada ya reli kusombwa na maji
 
Sio kweli kwamba Mv Spice Islander iliua watu kuliko Mv Bukoba. Mpaka sasa duniani kote,ukiacha Titanic, Mv Bukoba ni moja kati ya ajali kubwa kuwahi kutokea duniani kwa upande wa vyombo vya majini.
 
Sio kweli kwamba Mv Spice Islander iliua watu kuliko Mv Bukoba. Mpaka sasa duniani kote,ukiacha Titanic, Mv Bukoba ni moja kati ya ajali kubwa kuwahi kutokea duniani kwa upande wa vyombo vya majini.
oya mwamba space iliua watu weng zaid sema ni vile mv bukoba walianza kuona wazungu wenye satelite zao atujapka data ila spice idad ilifchwa cz meli ilkua na matatzo ila iliachwa na ilibeba zaid ya wa2 ef3 kwa tamaa za manaoza ilihal uwez wke mdogo tu wakubeba abilia kpnd inapt ajal nlikua pemba yn walikuf watu weng kias hakun ukoo ambao aujaondkew na ndg kuna nyumba paka leo zilifungwa zmekua maboma wenyew walikufa ote c unajua watu wa vsiwan wanatbia ya kusafir p1 kungjean
 
Mv spice islander inaongoza kwa kuwa watu wengi
 
Dah ile ya MV Spice ya Pale Mkondo wa NUNGWI iliondoka na class mate wangu na Mhorticulture mwenzangu wa pale SUA Salim.

Jamaa alipangiwa field Unguja kwenye Shirika la USAID Feed the Future Tanzania Agriculture Productivity (TAP) Kule Unguja so siku aloyomaliza field 9/9/2011 akapanda hiyo Meli arudi kwao Pemba ndio akakumbana na hiyo mauti.

R.I.P Salim Ally Salim
 
Ile MV Islander mbona kama pantoni ilibebaje watu 3000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…