Ajali tena Ubungo

Ukiendesha miguu miwili we boda tu na kawaida akili huwa hamna!
Sawa, kwa mtazamo wako na upeo wako kufikiri yawezekana umeishia hapo. Kuna DHL, FEDEX, KFC na watu binafsi kibao wanaendesha pikipiki kwa ufasaha. Kuna pkpk BMW, Honda,Suzuki zina thamani kuliko hivyo vi IST, PASSO, Vitz na gari nyingi mnazo tamba nazo, kusema miguu miwili sijui nini, inaonyesha ni mshamba fulani limbukeni. Ila ngoja nikuache na ushamba wako ukihisi mjanja.
 
Nakataa aina yoyote ya ugomvi katika uzi huu ,tafadhali tutoe pole kwa muathirika wa ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…