Ajali tena Ubungo

Ajali tena Ubungo

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mataa ya urafiki apa Bodaboda amepasuliwa na daladala muda huu daresalam ✍️

Awakomi

1727948335496.jpg
 
Ukiendesha miguu miwili we boda tu na kawaida akili huwa hamna!
Sawa, kwa mtazamo wako na upeo wako kufikiri yawezekana umeishia hapo. Kuna DHL, FEDEX, KFC na watu binafsi kibao wanaendesha pikipiki kwa ufasaha. Kuna pkpk BMW, Honda,Suzuki zina thamani kuliko hivyo vi IST, PASSO, Vitz na gari nyingi mnazo tamba nazo, kusema miguu miwili sijui nini, inaonyesha ni mshamba fulani limbukeni. Ila ngoja nikuache na ushamba wako ukihisi mjanja.
 
Nakataa aina yoyote ya ugomvi katika uzi huu ,tafadhali tutoe pole kwa muathirika wa ajali
 
Back
Top Bottom