Ajali tena Ubungo

kagonga serk kazii anayoo aiseeeeee

amenikumbhsha mbalii Feb kuna dalala lituovertake kumbe wanajeshi mbezi wamesimamisha magari mkuu anapita jamaa kawashaa motor kaiachia anafika anapigwa mkono akaunga gafla msafara wa mzee ukamkosakosa aisee walichonfanyia siri yake

alipigwaaa badaaee mjeshi akaingia akawasha gari kama anarudi goba unahisi alikuwa anaenda nae wapi sijui....
 
Kwamba huna akili is beyond argument.
Hakuna mtu mwenye akili yake ataendesha boda baraba hizi zetu, unless kwa hiyo akili yako finyu, hujipendi.
 
Umeandika kwa hisia sana mkuu.
 
Ukizoom vizuri huyo sio bodaboda, ni pikipiki ya serikali STM 6338,. Endapo macho yako yapo vizuri ndo utaona.

Waendesha boda karibu wote akili zao zipo sawa tu, iwe binafsi, kazini au usafirishaji...
 
Kwamba huna akili is beyond argument.
Hakuna mtu mwenye akili yake ataendesha boda baraba hizi zetu, unless kwa hiyo akili yako finyu, hujipendi.
Waendesha boda karibu wote akili zao zipo sawa tu, iwe binafsi, kazini au usafirishaji...
hawa waendesha big bike mf bmw,harley davidson au ducati multstrada ni bodaboda au?
 
Sijui ninunue Ist tu ila ilivyokaa kidada acha niendelee na pikipiki
 
hawa waendesha big bike mf bmw,harley davidson au ducati multstrada ni bodaboda au?
Neno bodaboda halihusishi pikipiki yoyote kubwa yenye hadhi iwe Honda au BMW. Hata askari akikamata pikipiki anajua ipi ni bodaboda. Hio iliopata ajali ukiondoa hio namba ni bodaboda tu. Wale dhl na wenzao ukiondoa yale maboksi ya mizigo ni bodaboda tu kuanzia uendeshaji wao hadi pikipiki zao.
 
Mataa ya urafiki apa Bodaboda amepasuliwa na daladala muda huu daresalam ✍️

Awakomi

View attachment 3114037
Sikufanikiwa kuchukua picha,leo asubuhi kuna boda mwingine nilikuwa napita mitaa ya katikati pale Dodma,Boda imegongwa imepasuka kwa mbele sijui kama mwenyewe kapona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…