Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hawa jamaa wa serikali!!! MmmhYeah.. ni pkpk ya serikali STM..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wa serikali!!! MmmhYeah.. ni pkpk ya serikali STM..
Kwamba huna akili is beyond argument.Sawa, kwa mtazamo wako na upeo wako kufikiri yawezekana umeishia hapo. Kuna DHL, FEDEX, KFC na watu binafsi kibao wanaendesha pikipiki kwa ufasaha. Kuna pkpk BMW, Honda,Suzuki zina thamani kuliko hivyo vi IST, PASSO, Vitz na gari nyingi mnazo tamba nazo, kusema miguu miwili sijui nini, inaonyesha ni mshamba fulani limbukeni. Ila ngoja nikuache na ushamba wako ukihisi mjanja.
Umeandika kwa hisia sana mkuu.Sawa, kwa mtazamo wako na upeo wako kufikiri yawezekana umeishia hapo. Kuna DHL, FEDEX, KFC na watu binafsi kibao wanaendesha pikipiki kwa ufasaha. Kuna pkpk BMW, Honda,Suzuki zina thamani kuliko hivyo vi IST, PASSO, Vitz na gari nyingi mnazo tamba nazo, kusema miguu miwili sijui nini, inaonyesha ni mshamba fulani limbukeni. Ila ngoja nikuache na ushamba wako ukihisi mjanja.
Wewe jamaa, badala ya kusaidia kunyanyua hiyo boda hapo barabarani unakimbilia kupiga picha na kuposti humu. Hopeless!Mataa ya urafiki apa Bodaboda amepasuliwa na daladala muda huu daresalam ✍️
Awakomi
View attachment 3114037
Ukizoom vizuri huyo sio bodaboda, ni pikipiki ya serikali STM 6338,. Endapo macho yako yapo vizuri ndo utaona.
Kwamba huna akili is beyond argument.
Hakuna mtu mwenye akili yake ataendesha boda baraba hizi zetu, unless kwa hiyo akili yako finyu, hujipendi.
hawa waendesha big bike mf bmw,harley davidson au ducati multstrada ni bodaboda au?Waendesha boda karibu wote akili zao zipo sawa tu, iwe binafsi, kazini au usafirishaji...
Hamna shida ukiendesha pikipiki tayari wewe ni bodaboda!!Ukizoom vizuri huyo sio bodaboda, ni pikipiki ya serikali STM 6338,. Endapo macho yako yapo vizuri ndo utaona.
Neno bodaboda halihusishi pikipiki yoyote kubwa yenye hadhi iwe Honda au BMW. Hata askari akikamata pikipiki anajua ipi ni bodaboda. Hio iliopata ajali ukiondoa hio namba ni bodaboda tu. Wale dhl na wenzao ukiondoa yale maboksi ya mizigo ni bodaboda tu kuanzia uendeshaji wao hadi pikipiki zao.hawa waendesha big bike mf bmw,harley davidson au ducati multstrada ni bodaboda au?
Sikufanikiwa kuchukua picha,leo asubuhi kuna boda mwingine nilikuwa napita mitaa ya katikati pale Dodma,Boda imegongwa imepasuka kwa mbele sijui kama mwenyewe kapona...Mataa ya urafiki apa Bodaboda amepasuliwa na daladala muda huu daresalam ✍️
Awakomi
View attachment 3114037