Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

..bado sijashawishika kwamba alitengenezewa ajali.

..naamini ni ajali ya kawaida ambayo ingeweza kumtokea mtu yeyote.
hao kamati ya ulinzi walifikaje usiku huo?? ili hali ni ajali ya kawaida tuu???
 
Nimefanya kazi na Balozi Mushi, ni msela flan hivi na mtu anayejiamini sana, kuendesha gari mwenyewe ni kitu anachoweza kufanya, lakini kwanini Usiku? Kwanini Crown?

Something fishy!
Kama ni mtu mwenya kaliba hiyo,kufanya uamuzi wa kuondoka usiku inawezekana,pia inawezekana gari ya karibu ambayo aliipata na aliona angeweza kukimbia mara moja usiku ule na kurudi haraka ilikuwa ni hiyo.Angalizo kama hakupata muda wa kupumzika mchana kutwa na usiku akaanza safari ni jambo la hatari sana,nina uzoefu wa kusafiri usiku,inaweza kutokea sekunde chache tu ukapitiwa na usingizi hiyo tayari ni ajali,ndio maana huwezi kumshauri dereva wa lori kuendesha gari akiwa hajapumzika,yuko radhi hata kupaki porini ili tu akate usingizi then aanze safari...
 
Tunachokijua:[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hakuna waandishi siku hizi
Waandishi wengi wao ni udakuudaku tu,wapz kabisa

Ova
Tunashukuru kuwa na social medias siku hizi. Tungelishwa matango pori kweri kweri Kama tungekuwa tunategemea taarifa kutoka hawa vilaza waandishi wa habari wa bongo.
 
Ni kweli umeongea vizuri
 
Kwa nini alizimwaga baharini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…