NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
si wanasema walikuta mzinga wa nyagi kwa gari yake..upo robo.Kwamba Balozi anajiendesha!
Tena Toyota Crown!
Bila hata Mpambe!
Bila hata V8 la wizara!
Halafu anagongana na gari ya makaa ya Mawe!
Njia ile ambayo siyo ya kusini!
Halafu anatambulika chap,kwa kutumia identity ya gari,badala ya DNA!
Wacha iendelee kunyesha tuyaone matobo.
Alamsikhi.
10101.
kwa hiyo ile takwimu ya kusema katika watu 5 basi 3 wana tatizo hili ni sawa !! 😛Sikuwahi kuwaza Mwaka 2023 haya mambo yataendelea lakini inabidi tukubali tatizo la afya ya akili ni kubwa
Vipi unashindwa kuunganisha doti, au kuelewa anavyounganisha mwenzio kati ya hili lako na lile la Balozi?Mbona nadharia nyingi zilishaongelewa na mjadala ukafunikwa chini ya carpet. Mtoa mada imekuwaje ghafla umezuka nao tena?
Jana na leo hot topic ni Diwani Athumani, hii ya kwako isha expire unless una nadharia mpya tofauti na zile zile tulizozisikia karibia wiki 2 nzima.
"Njia ile ambayo siyo ya kusini" una maana gani? Ukiitwa we ni mkabila mpumbavu nakosea? Kwani ukijenga hoja bila kuchomekea upuuzi km huu ujumbe wako hauwezi kueleweka? Njia za kusini zina nini, we kujsini umefika sehemu gani. Kusini wapi we dondocha! Nafahamu kabila lakoili nisionekane mpuuzi km wewe sintaitaja.Kwamba Balozi anajiendesha!
Tena Toyota Crown!
Bila hata Mpambe!
Bila hata V8 la wizara!
Halafu anagongana na gari ya makaa ya Mawe!
Njia ile ambayo siyo ya kusini!
Halafu anatambulika chap,kwa kutumia identity ya gari,badala ya DNA!
Wacha iendelee kunyesha tuyaone matobo.
Alamsikhi.
10101.
Huyo balozi apige pombe zake serikali ipoteze muda na rasilimali zingine zikiwepo fedha zake kwanini? Yule alilewa akiwa na stress zake akaamua kuendesha usiku. Acheni uzwazwa.Uchunguzi gani tena ?
Mashahidi wapo wa kutosha na sio waendesha bodaboda, ni watu na nyadhifa zao za kiuteuzi.
Detective corporal atamhoji OCD au RPC au RC au DC?
Ile ilikua ajali in black and while.
Case closed.
Hii ya diwani ni muendelezo .episode ya kifo cha balozi wetu kule Switzerland chenya utata , balozi hoyce Temu kule UN Geneva na Prof. Kennedy Gaston kule UN New York.Mbona nadharia nyingi zilishaongelewa na mjadala ukafunikwa chini ya carpet. Mtoa mada imekuwaje ghafla umezuka nao tena?
Jana na leo hot topic ni Diwani Athumani, hii ya kwako isha expire unless una nadharia mpya tofauti na zile zile tulizozisikia karibia wiki 2 nzima.
Tulia acha panic"Njia ile ambayo siyo ya kusini" una maana gani? Ukiitwa we ni mkabila mpumbavu nakosea? Kwani ukijenga hoja bila kuchomekea upuuzi km huu ujumbe wako hauwezi kueleweka? Njia za kusini zina nini, we kujsini umefika sehemu gani. Kusini wapi we dondocha! Nafahamu kabila lakoili nisionekane mpuuzi km wewe sintaitaja.
Hizo pombe ulimnunulia wewe kwenye bar yako?Huyo balozi apige pombe zake serikali ipoteze muda na rasilimali zingine zikiwepo fedha zake kwanini? Yule alilewa akiwa na stress zake akaamua kuendesha usiku. Acheni uzwazwa.
toa jibu nipanic kitu gani ktk huu upupu wako. Unaandika vitu vya ajabu umelazimishwa?Tulia acha panic
Kwamba Balozi anajiendesha!
Tena Toyota Crown!
Bila hata Mpambe!
Bila hata V8 la wizara!
Halafu anagongana na gari ya makaa ya Mawe!
Njia ile ambayo siyo ya kusini!
Halafu anatambulika chap,kwa kutumia identity ya gari,badala ya DNA!
Wacha iendelee kunyesha tuyaone matobo.
Alamsikhi.
10101.
Alikutwa nazo, km huna taarifa sahihi si unyamaze kuna mtu anakulazimisha kutuletea huu upoyoyo? Unawashwa na nini. Hata hivyo ana umuhimu gani kiasi hicho ilhali ajali hutokea siku zote? km ni ndugu yako kaanzishe uchunguzi wako binafsiHizo pombe ulimnunulia wewe kwenye bar yako?