Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.

Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.

Naomba kuwasilisha.

Kuhusu tuhuma za Ubakaji, soma hapa: Inadaiwa Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi kafukuzwa kwa kashfa ya Ubakaji

Hii ajali ina kila dalili za “assasins job” ; …..

1. Kwanini alisafiri usiku?
2. Kwanini alisafiri peke yake?
3.Mawasiliano yake?
4. Gari ilipata ajali?
5. Wanasema gari iliungua ... huwa kama sio bomu gari huwa haingui ghafla … huanza short , lazima itasimama ghafla …na baada ya muda ndio italipuka . Muda huo wote yeye hakutoka nje?

Hatutaki kuhukumu lakini hichi kifo kinahitaji kuchunguzwa na sio kuzika haraka… lakini mara nyingi vifo kama hivi huwa mtu anaulizwa mahali tofauti alafu wanaenda sehemu wanamueka kwenye gari alafu wanalichoma ….

Au wengine wanauwa halafu wanatumbukiza korongoni …ni style za kizamani ambazo zimetumia sana na NRB [ national research bureau] ile ya Iddi Amin …style zake zote ziilikuwa set up accident , kupinduka , au moto ….uzuri wa style ya moto huwa inauwa ushahidi lakini pia ni rahisi zaidi kustukiwa …

Sasa tunahitaji kufanya background check ya huyu bwana …. Kuna jambo gani ambalo analijua ..ambalo pengine likitoka ni hatari …kwa ufupi inajulikana ni kati ya wateule ambao utawala uliopita uliwatupa mbali sana ….ndio kwanza kakumbukwa kutoka mavumbini ndio anapata hii kadhia ….so sad .
 
Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.

Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.

Naomba kuwasilisha.

Kuhusu tuhuma za Ubakaji, soma hapa: Inadaiwa Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi kafukuzwa kwa kashfa ya Ubakaji
Tindikali inaunguza kama moto
 
Kwani alikuwa declared kama persona non grata
huko Australia!?
 
Kwani alikuwa declared persona nan Gratia!?
huko Australia!?

Mimi nadhani masuala ya kubaka wa-Austria wangependa ku-deal naye wenyewe.

Sidhani kama wangeishia kumfukuza tu toka nchini kwao.

Je, hizi tuhuma haziwezi kuwa zimetengenezwa ili kuficha chanzo halisi cha kifo chake?

Ni vizuri tukatafuta vyanzo vya habari vya Austria kujua kama tuhuma hizo ni za kweli au la.
 
..mimi nadhani masuala ya kubaka wa-Austria wangependa ku-deal naye wenyewe.

..Sidhani kama wangeishia kumfukuza tu toka nchini kwao.

..Je, hizi tuhuma haziwezi kuwa zimetengenezwa ili kuficha chanzo halisi cha kifo chake?

..Ni vizuri tukatafuta vyanzo vya habari vya Austria kujua kama tuhuma hizo ni za kweli au la.
So huenda jamaa alifia huko Aurtralia kwa kipigo.......
Najaribu kuwaza
 
Hii ajali ina kila dalili za “assasins job” ; …..

1. Kwanini alisafiri usiku ?
2. Kwanini alisafiri peke yake ?
3.Mawasiliano yake ???
4. Gari ilipata ajali ??
5. Wanasema gari iliungua ….huwa kama sio bomu gari huwa haingui ghafla …..huanza short , lazima itasimama ghafla …na baada ya muda ndio italipuka . Muda huo wote yeye hakutoka nje ??

Hatutaki kuhukumu lakini hichi kifo kinahitaji kuchunguzwa na sio kuzika haraka…..lakini mara nyingi vifo kama hivi huwa mtu anaulizwa mahali tofauti alafu wanaenda sehemu wanamueka kwenye gari alafu wanalichoma ….

Au wengine wanauwa halafu wanatumbukiza korongoni …ni style za kizamani ambazo zimetumia sana na NRB [ national research bureau] ile ya Iddi Amin …style zake zote ziilikuwa set up accident , kupinduka , au moto ….uzuri wa style ya moto huwa inauwa ushahidi lakini pia ni rahisi zaidi kustukiwa …

Sasa tunahitaji kufanya background check ya huyu bwana …. Kuna jambo gani ambalo analijua ..ambalo pengine likitoka ni hatari …kwa ufupi inajulikana ni kati ya wateule ambao utawala uliopita uliwatupa mbali sana ….ndio kwanza kakumbukwa kutoka mavumbini ndio anapata hii kadhia ….so sad .
Watch the movie "Enemy of the state" ndicho ulichogusia ...
 
So huenda jamaa alifia huko Aurtralia kwa kipigo.......
Najaribu kuwaza

..Ni Austria, sio Australia.

..Na amefia Tanzania.

..Swali la kujiuliza ni ametoka vipi Austria huku kuna wanaodai ana tuhuma za kubaka?

..Ndio maana wengine tunasema ni vizuri tukatafuta habari toka vyanzo vya Austria ili kujua ukweli wa uwepo wa tuhuma hizo.
 
Hii ajali ina kila dalili za “assasins job” ; …..

1. Kwanini alisafiri usiku ?
2. Kwanini alisafiri peke yake ?
3.Mawasiliano yake ???
4. Gari ilipata ajali ??
5. Wanasema gari iliungua ….huwa kama sio bomu gari huwa haingui ghafla …..huanza short , lazima itasimama ghafla …na baada ya muda ndio italipuka . Muda huo wote yeye hakutoka nje ??

Hatutaki kuhukumu lakini hichi kifo kinahitaji kuchunguzwa na sio kuzika haraka…..lakini mara nyingi vifo kama hivi huwa mtu anaulizwa mahali tofauti alafu wanaenda sehemu wanamueka kwenye gari alafu wanalichoma ….

Au wengine wanauwa halafu wanatumbukiza korongoni …ni style za kizamani ambazo zimetumia sana na NRB [ national research bureau] ile ya Iddi Amin …style zake zote ziilikuwa set up accident , kupinduka , au moto ….uzuri wa style ya moto huwa inauwa ushahidi lakini pia ni rahisi zaidi kustukiwa …

Sasa tunahitaji kufanya background check ya huyu bwana …. Kuna jambo gani ambalo analijua ..ambalo pengine likitoka ni hatari …kwa ufupi inajulikana ni kati ya wateule ambao utawala uliopita uliwatupa mbali sana ….ndio kwanza kakumbukwa kutoka mavumbini ndio anapata hii kadhia ….so sad .
Utawala uliopita kama sikosei alikuwa RAS ....
 
..Ni Austria, sio Australia.

..Na amefia Tanzania.

..Swali la kujiuliza ni ametoka vipi Austria huku kuna wanaodai ana tuhuma za kubaka?

..Ndio maana wengine tunasema ni vizuri tukatafuta habari toka vyanzo vya Austria ili kujua ukweli wa uwepo wa tuhuma hizo.
Iko hivi nchi za watu kwa mujibu wa sheria huwezi kumshtaki balozi kwa makosa ya jinai (sheria za kimataifa ambazo sisi watz tume ratify) na wao pia.

The only available remedy ambayo ipo kisheria ni ku-declare kwa barozi husika persona non Gratia. Asante kwa marekebisho nipo bar nimelewa tayari
 
..Ni Austria, sio Australia.

..Na amefia Tanzania.

..Swali la kujiuliza ni ametoka vipi Austria huku kuna wanaodai ana tuhuma za kubaka?

..Ndio maana wengine tunasema ni vizuri tukatafuta habari toka vyanzo vya Austria ili kujua ukweli wa uwepo wa tuhuma hizo.
Hebu Google mkuu

Ova
 
Iko hv ichi za watu kwa mujibu wa sheria huwezi kumshtaki balozi kwa makosa ya jinai (sheria za kimataifa ambazo sisi wtz tume ratify) na wao pia.
The only available remedy ambayo ipo kisheria ni ku- declare kwa barozi husika persona non Gratia. Asante kwa marekebisho nipo bar nimelewa tayari
..uko SAHIHI 100%.

..lakini kuna makosa yanaweza kuwa makubwa na nchi inaweza kuomba diplomatic immunity iwekwe kando.

..pia sidhani kama wakosaji huishia kufukuzwa tu huko ubalozini, bali nchi husika huomba mkosaji achukuliwe hatua za kisheria mara atakaporejea nchini kwake.

..lakini jambo la muhimu ni kutafuta habari toka vyanzo vilivyoko Austria. Ni vigumu kuwa na tuhuma mbaya kama za ubakaji halafu vyombo vya habari vya Austria visiripoti.
 
Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.

Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.

Naomba kuwasilisha.

Kuhusu tuhuma za Ubakaji, soma hapa: Inadaiwa Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi kafukuzwa kwa kashfa ya Ubakaji
Una hoja, ila mbona ajali nyingi nchini huwa polisi wanazichunguza. Tunasikia mara kwa mara ajali za mabasi, malori au gari ndogo; polisi wanaweza establish taarifa za awali lakini wanasema," Uchunguzi zaidi unaendelea." Muhimu tu tusiwe na hisia nyingii kabla ya uchunguzi.

Kwa mfano, kuna watu wanahoji Mhe. Balozi alitumiaje Crown au kwa nini alikuwa pekeake? Katika maisha kuna watu hawapendi ufahari. Kwa mfano, mimi hata niwe na milioni mfukoni napenda kunywa juice ya Kibugumo, Kigamboni kuliko kempenski. Sipendi kabisa maisha ya kifahari.🙏🙏🙏
 
..uko SAHIHI 100%.

..lakini kuna makosa yanaweza kuwa makubwa na nchi inaweza kuomba diplomatic immunity iwekwe kando.

..pia sidhani kama wakosaji huishia kufukuzwa tu huko ubalozini, bali nchi husika huomba mkosaji achukuliwe hatua za kisheria mara atakaporejea nchini kwake.

..lakini jambo la muhimu ni kutafuta habari toka vyanzo vilivyoko Austria. Ni vigumu kuwa na tuhuma mbaya kama za ubakaji halafu vyombo vya habari vya Austria visiripoti.
Yees the general rule has exception.
especially kwenye makosa ya terrorism.
na makosa mengine makubwa.
mnaweza mkawev hiyo right ya kudeclare persona non gratia
 
Back
Top Bottom