Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Una hoja, ila mbona ajali nyingi nchini huwa polisi wanazichunguza. Tunasikia mara kwa mara ajali za mabasi, malori au gari ndogo; polisi wanaweza establish taarifa za awali lakini wanasema," Uchunguzi zaidi unaendelea." Muhimu tu tusiwe na hisia nyingii kabla ya uchunguzi.

Kwa mfano, kuna watu wanahoji Mhe. Balozi alitumiaje Crown au kwa nini alikuwa pekeake? Katika maisha kuna watu hawapendi ufahari. Kwa mfano, mimi hata niwe na milioni mfukoni napenda kunywa juice ya Kibugumo, Kigamboni kuliko kempenski. Sipendi kabisa maisha ya kifahari.🙏🙏🙏
Nata nikuunge mkono always Balozi Mushi alikuwa mtu wakujichanganya some time unamkuta na jinsi mpauko anatembea barabarani au ana tumia gari umechoka ya serikali... Ndio style yake ya Maisha
 
Nata nikuunge mkono always Balozi Mushi alikuwa mtu wakujichanganya some time unamkuta na jinsi mpauko anatembea barabarani au ana tumia gari umechoka ya serikali... Ndio style yake ya Maisha
Ooh asante sana! Yes watu wa aina hiyo wapo . Tatizo ni haya maisha ya ufahari tuliyozea kuyaona kwa baadhi ya watu. Lakini kuna watu wanapenda maisha ya kawaida na wanayafurahia mno na hawaigizi 'kubeba zege au kusaidia wakulima shamba' ni uhalisia.
 
Balozi kafa kwenye crown inashangaza kweli. Kweli balozi asafiri mwenyewe ata machawa chawa wa bongo akose. Sijui ila inaleta ukakasi
Nimefanya kazi na Balozi Mushi, ni msela flan hivi na mtu anayejiamini sana, kuendesha gari mwenyewe ni kitu anachoweza kufanya, lakini kwanini Usiku? Kwanini Crown?

Something fishy!
 
Iko hv nchi za watu kwa mujibu wa sheria huwezi kumshtaki balozi kwa makosa ya jinai (sheria za kimataifa ambazo sisi wtz tume ratify) na wao pia.
The only available remedy ambayo ipo kisheria ni ku- declare kwa barozi husika persona non Gratia. Asante kwa marekebisho nipo bar nimelewa tayari
Siyo gratia ni grata, boss
 
Utawala uliopita kama sikosei alikuwa RAS ....
Naibu RAS Mtwara, Magu alimpa adhabu ya kusimamia zoezi la kunyang'anya Wakulima korosho na kisha kuzimwaga baharini, ni kitu Balozi Mushi alikuwa akiumizwa nacho moyoni nadhani hadi mauti yake yanamfika, nimesikitika sana....highly intelligent, humble & outgoing personality😭😭😭
 
Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.

Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.

Naomba kuwasilisha.
Yale yale ya Imrani Kombe, unakwenda kumaliziwa njia ya kwenda kwenu, nimeumia sana!
 
Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.

Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.

Naomba kuwasilisha.
Att
Ajali ya Toyota Crown t.175dmf imetokea mkata dereva ni mwanamke amefariki papo hapo
, umiliki wa gari ni Celestine Joseph Mushy

Sambaza kwenye
magroup kadri uwezavyo ili ndugu wapate taarifa
toka 0652003003
 
Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.

Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.

Naomba kuwasilisha.
Duh alibaka!!!?
 
Back
Top Bottom