fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
tatizo hujui harakat za mtu mweusi kuna mda tunatakiwa kuwawahi abiriaMuda wa kuiwahi ajali? au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo hujui harakat za mtu mweusi kuna mda tunatakiwa kuwawahi abiriaMuda wa kuiwahi ajali? au
Bodaboda akikugonga huwa anasimama? Kesi nyingi wanagonga watoto wa shule kwemye zebra halafu wanakimbia. Huwezi jua anaetoa kauli kama hio ana experience gani na bodaboda.Una roho mbaya!!
😂😂mda mwngne wanakuaga na wenge sana hawa jamaaKuna siku moja pale mataa ya moroco wakati wanasikilizia kuvuka si unajua wanavyojana pamoja,sasa kwenye kutoka wote ile si wakaparamiana 😄
Ova
Ubaya haulipwi kwa ubaya mzee, unalipwa kwa wema. Mimi pia one of my daughter aligongwa na boda na hakusimama ila still nawaheshimu boda and i wish them well sababu bodaboda ndo walimuokoa pia my daughter. Na pia bodaboda wengi ndo washkaji zetu ambao hawakupata nafasi za ajira nzuri na kutokana na utegemezi + majukumu wakadondokea huko, you cant wish them bad, ni kuwaombea tu Mungu awasaidie wafanye kazi yao vizuri. Inawezekana mkawa mmesahau how Boda wa Mbezi walivyolinda mwili wa Zuch Zuchero, mfanyakazi wa millard ayo aliyegongwa na gari hit and run juzi tu hapa, boda stayed na mwili since saa 8 hadi saa 11, utawezaje kuwasema au kuwaombea mabaya watu hao..?Bodaboda akikugonga huwa anasimama? Kesi nyingi wanagonga watoto wa shule kwemye zebra halafu wanakimbia. Huwezi jua anaetoa kauli kama hio ana experience gani na bodaboda.
Wala nisiwe mnafiki binafsi nikikuta bodaboda kaanguka kapata ajali naendelea na shughuli zangu.
Hahahaa. Kama jogoo wa kienyeji aparamiavyo mitetea etiWaliparamianaaa
Ova
Sijamuombea mtu mabaya. Ila siwezi kuhangaika na mtu anaejitafutia matatizo. Sio mtaani tu hata huko hospitali ma Dr hawapotezi muda nao,ni last priority.Ubaya haulipwi kwa ubaya mzee, unalipwa kwa wema. Mimi pia one of my daughter aligongwa na boda na hakusimama ila still nawaheshimu boda and i wish them well sababu bodaboda ndo walimuokoa pia my daughter. Na pia bodaboda wengi ndo washkaji zetu ambao hawakupata nafasi za ajira nzuri na kutokana na utegemezi + majukumu wakadondokea huko, you cant wish them bad, ni kuwaombea tu Mungu awasaidie wafanye kazi yao vizuri. Inawezekana mkawa mmesahau how Boda wa Mbezi walivyolinda mwili wa Zuch Zuchero, mfanyakazi wa millard ayo aliyegongwa na gari hit and run juzi tu hapa, boda stayed na mwili since saa 8 hadi saa 11, utawezaje kuwasema au kuwaombea mabaya watu hao..?
Nanukuu: " .....Inawezekana mkawa mmesahau how Boda wa Mbezi walivyolinda mwili wa Zuch Zuchero, mfanyakazi wa millard ayo aliyegongwa na gari hit and run juzi tu hapa, boda stayed na mwili since saa 8 hadi saa 11, utawezaje kuwasema au kuwaombea mabaya watu hao..?"Ubaya haulipwi kwa ubaya mzee, unalipwa kwa wema. Mimi pia one of my daughter aligongwa na boda na hakusimama ila still nawaheshimu boda and i wish them well sababu bodaboda ndo walimuokoa pia my daughter. Na pia bodaboda wengi ndo washkaji zetu ambao hawakupata nafasi za ajira nzuri na kutokana na utegemezi + majukumu wakadondokea huko, you cant wish them bad, ni kuwaombea tu Mungu awasaidie wafanye kazi yao vizuri. Inawezekana mkawa mmesahau how Boda wa Mbezi walivyolinda mwili wa Zuch Zuchero, mfanyakazi wa millard ayo aliyegongwa na gari hit and run juzi tu hapa, boda stayed na mwili since saa 8 hadi saa 11, utawezaje kuwasema au kuwaombea mabaya watu hao..?
Msaada mkuu, hawakupewa hata mia na hapo mvua ilikuwa inanyesha.Nanukuu: " .....Inawezekana mkawa mmesahau how Boda wa Mbezi walivyolinda mwili wa Zuch Zuchero, mfanyakazi wa millard ayo aliyegongwa na gari hit and run juzi tu hapa, boda stayed na mwili since saa 8 hadi saa 11, utawezaje kuwasema au kuwaombea mabaya watu hao..?"
Hivi walifanya hilo kwa nia ya kutoa msaada au walilenga kuweka mtego kwa ajili ya maokoto?
Ni hayo tu.
Uzuri mimi pia ni doctor by professional kabisa even though i ain't working there anymore na nataka nikupe fact kwanini boda hawapewi huduma bora wakifika kwenye Emergency, sababu kubwa ni social status yao, unakuta boda analetwa na femur na pelvic fracture za ajabu, gharama za surgery zinazofanywa na watu wa orthopedics (hawa ni kama mafundi carpenter kwenye fixing bone fractures) ni ziko juu kuliko unavyowaza. Surgery moja ya bei ndogo inaweza ikafika 4M, sasa kwa haraka haraka, boda social status yao haiwapi benefit of a doubt kwamba wanaweza ku afford pesa za hizo surgery, left with no choice than amputation unless boda ndugu zake wawe wanajiweza na wawahi hospitali na waweke msisitizo kwamba we can afford, ndugu yetu apewe whatever service that may be needed.Sijamuombea mtu mabaya. Ila siwezi kuhangaika na mtu anaejitafutia matatizo. Sio mtaani tu hata huko hospitali ma Dr hawapotezi muda nao,ni last priority.
Nukuu: ".....Ila siwezi kuhangaika na mtu anaejitafutia matatizo."Sijamuombea mtu mabaya. Ila siwezi kuhangaika na mtu anaejitafutia matatizo. Sio mtaani tu hata huko hospitali ma Dr hawapotezi muda nao,ni last priority.
NAKAZIAUmeandika ukweli hata kama unauma. Hata mm naunga mkono maneno uliyoandika. Mtu kuwa na utu ni pamoja na kupokea ushauri na kusikiliza kile wanachokuambia wenzako. Lakini kwa boda boda sio.
Umeona mkuu acha wajifunze kwa vitendoUKO SAHIHI SANA,
WANACHOJUA;
KUKIMBIA HOVYO KWA SPEED KUBWA
KUSIKILIZA NA KUPIGA MUZIKI KWA SAUTI KUBWA
HAWANA SUBIRA/UVUMILIVU BARABARANI
WAO SHERIA ZA BARABARANI HAZIWAHUSU.
HAYA, MWENDO UMEUMALIZA KIBABE KABISA.
Naamini mlicheka sana badala ya kuwainua.Kuna siku moja pale mataa ya moroco wakati wanasikilizia kuvuka si unajua wanavyojana pamoja,sasa kwenye kutoka wote ile si wakaparamiana 😄
Ova
nakazia pamoja si wote ila kuna bodaboda ni vichaa barabarani alafu wanajifanya wao ndiyo wenye haraka acha wafe kabisaHawa jamaa acha wafe tu michosho sana
Nadhani mpuuzi ni yule anayeendesha chombo cha moto kwa ujeuri, akipungua mmoja nayo ni kheri.mpuuzi wewe
Bodaboda pia zinatakiwa kuwa nazo hizo fire extinguisher, ni sheria japo hawataki kuitekeleza, nikitumia yangu nani atanilipa! Siwezi labda kama serikali itanifidia bure.Kuzaliwa tz ni michosho sana
Watu hawajui hata kukabiliana na emergency,mwanzo nilidhani ni vijijini huko, sasa hapo misungwi ajali imetokea barabarani magari yamejaa wanazima moto na mchanga na maji kweli?
Fire extinguisher kwenye magari ni kuajili ya kuonyesha traffic officers? Mbona magari yapo nilitegemea Kuona mtu anakuja na fire extinguisher
Ni mgawanyo wa kazi....isikuume sana.Ila watanzania ni watu wa hovyo sana. Yani limtu limekomaa ku record tu badala ya kutoa msaada linaropoka ropoka tu.
Kumbe misungwi ni mjini, mimi nikisikia jina Misungwi huwa napata hisia ya sehemu ya maporini huko kulikojaa fisi wale wanaofugwa na wasukuma.Kuzaliwa tz ni michosho sana
Watu hawajui hata kukabiliana na emergency,mwanzo nilidhani ni vijijini huko, sasa hapo misungwi ajali imetokea barabarani magari yamejaa wanazima moto na mchanga na maji kweli?
Fire extinguisher kwenye magari ni kuajili ya kuonyesha traffic officers? Mbona magari yapo nilitegemea Kuona mtu anakuja na fire extinguisher