Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

Una roho mbaya!!
Bodaboda akikugonga huwa anasimama? Kesi nyingi wanagonga watoto wa shule kwemye zebra halafu wanakimbia. Huwezi jua anaetoa kauli kama hio ana experience gani na bodaboda.
Wala nisiwe mnafiki binafsi nikikuta bodaboda kaanguka kapata ajali naendelea na shughuli zangu.
 
Ubaya haulipwi kwa ubaya mzee, unalipwa kwa wema. Mimi pia one of my daughter aligongwa na boda na hakusimama ila still nawaheshimu boda and i wish them well sababu bodaboda ndo walimuokoa pia my daughter. Na pia bodaboda wengi ndo washkaji zetu ambao hawakupata nafasi za ajira nzuri na kutokana na utegemezi + majukumu wakadondokea huko, you cant wish them bad, ni kuwaombea tu Mungu awasaidie wafanye kazi yao vizuri. Inawezekana mkawa mmesahau how Boda wa Mbezi walivyolinda mwili wa Zuch Zuchero, mfanyakazi wa millard ayo aliyegongwa na gari hit and run juzi tu hapa, boda stayed na mwili since saa 8 hadi saa 11, utawezaje kuwasema au kuwaombea mabaya watu hao..?
 
Sijamuombea mtu mabaya. Ila siwezi kuhangaika na mtu anaejitafutia matatizo. Sio mtaani tu hata huko hospitali ma Dr hawapotezi muda nao,ni last priority.
 
Nanukuu: " .....Inawezekana mkawa mmesahau how Boda wa Mbezi walivyolinda mwili wa Zuch Zuchero, mfanyakazi wa millard ayo aliyegongwa na gari hit and run juzi tu hapa, boda stayed na mwili since saa 8 hadi saa 11, utawezaje kuwasema au kuwaombea mabaya watu hao..?"
Hivi walifanya hilo kwa nia ya kutoa msaada au walilenga kuweka mtego kwa ajili ya maokoto?
Ni hayo tu.
 
Msaada mkuu, hawakupewa hata mia na hapo mvua ilikuwa inanyesha.
 
Sijamuombea mtu mabaya. Ila siwezi kuhangaika na mtu anaejitafutia matatizo. Sio mtaani tu hata huko hospitali ma Dr hawapotezi muda nao,ni last priority.
Uzuri mimi pia ni doctor by professional kabisa even though i ain't working there anymore na nataka nikupe fact kwanini boda hawapewi huduma bora wakifika kwenye Emergency, sababu kubwa ni social status yao, unakuta boda analetwa na femur na pelvic fracture za ajabu, gharama za surgery zinazofanywa na watu wa orthopedics (hawa ni kama mafundi carpenter kwenye fixing bone fractures) ni ziko juu kuliko unavyowaza. Surgery moja ya bei ndogo inaweza ikafika 4M, sasa kwa haraka haraka, boda social status yao haiwapi benefit of a doubt kwamba wanaweza ku afford pesa za hizo surgery, left with no choice than amputation unless boda ndugu zake wawe wanajiweza na wawahi hospitali na waweke msisitizo kwamba we can afford, ndugu yetu apewe whatever service that may be needed.
 
Mi nilipoteza mzee wangu kwa ajali ya pikipiki miaka mingi sana.
Alipewa mpikipiki mkuubwa na wazungu wakiondoka,akajisahau
Ikawa ni mbio mji mzima walimjua.
Kapiga mzinga kafa hapohapo.
Nikachukia kabisa pikipiki.
Siku nilikiona kitoto kina miaka 14 kinaendesha boda kwa fujo na mbwembwe nyingi nilitamani nikishushe nipige vibao sana.
 
Kuzaliwa tz ni michosho sana

Watu hawajui hata kukabiliana na emergency,mwanzo nilidhani ni vijijini huko, sasa hapo misungwi ajali imetokea barabarani magari yamejaa wanazima moto na mchanga na maji kweli?

Fire extinguisher kwenye magari ni kuajili ya kuonyesha traffic officers? Mbona magari yapo nilitegemea Kuona mtu anakuja na fire extinguisher
Bodaboda pia zinatakiwa kuwa nazo hizo fire extinguisher, ni sheria japo hawataki kuitekeleza, nikitumia yangu nani atanilipa! Siwezi labda kama serikali itanifidia bure.
 
Ila watanzania ni watu wa hovyo sana. Yani limtu limekomaa ku record tu badala ya kutoa msaada linaropoka ropoka tu.
Ni mgawanyo wa kazi....isikuume sana.
Kuna wa kuokoa na kuna waandishi wa habari wa kijitegemea.
Kama asingerekodi tusingepata taarifa.
 
Kuzaliwa tz ni michosho sana

Watu hawajui hata kukabiliana na emergency,mwanzo nilidhani ni vijijini huko, sasa hapo misungwi ajali imetokea barabarani magari yamejaa wanazima moto na mchanga na maji kweli?

Fire extinguisher kwenye magari ni kuajili ya kuonyesha traffic officers? Mbona magari yapo nilitegemea Kuona mtu anakuja na fire extinguisher
Kumbe misungwi ni mjini, mimi nikisikia jina Misungwi huwa napata hisia ya sehemu ya maporini huko kulikojaa fisi wale wanaofugwa na wasukuma.
 
Back
Top Bottom