Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Linapotokea issue kama hiyo hata kama ni professional reporter unatupa camera unaokoa uhai wa mtu kwanza kisha taarifa utajua jinsi ya kuifikisha.Ni mgawanyo wa kazi....isikuume sana.
Kuna wa kuokoa na kuna waandishi wa habari wa kijitegemea.
Kama asingerekodi tusingepata taarifa.
Vijana wengi wa kitz ni wazembe kiakili na kimwiliSidhani kama mtu anahitaji kupitia JKT ili aweze kutoa msaada. Kwanza jamaa anaonekana anaelewa mambo mfano anawaambia wasimwage maji kwakuwa ni moto wa petrol. So huyo angalau ana idea ya fire fighting lakini sasa ndio hana msaada zaidi ya kuchukua video.
na je yule abiria aliepanda ..?Nadhani mpuuzi ni yule anayeendesha chombo cha moto kwa ujeuri, akipungua mmoja nayo ni kheri.
Nakazia hoja ya mzee wa kukaziaHawa jamaa acha wafe tu michosho sana
We ni mpumbavuBodaboda pia zinatakiwa kuwa nazo hizo fire extinguisher, ni sheria japo hawataki kuitekeleza, nikitumia yangu nani atanilipa! Siwezi labda kama serikali itanifidia bure.
NAKAZIAnakazia pamoja si wote ila kuna bodaboda ni vichaa barabarani alafu wanajifanya wao ndiyo wenye haraka acha wafe kabisa
Umesema vyema mkuuNakazia hoja ya mzee wa kukazia
Yap! Kwa hiyo uliacha wafu wazike wafu wao sio?Bodaboda pia zinatakiwa kuwa nazo hizo fire extinguisher, ni sheria japo hawataki kuitekeleza, nikitumia yangu nani atanilipa! Siwezi labda kama serikali itanifidia bure.
Kwa heshima na taadhima na kwa ridhaa yako na kwa unyenyekevu mkubwa naomba ikukupendeza nikuite mpumbavu.Natanguliza shukrani zangu za dhatiHawa jamaa acha wafe tu michosho sana
Serikali iweke sheria ukitumia kizimamoto chako unapeleka mtungi mtupu Zimamoto na Uokoaji ambako utapewa mwingine, kumbuka mtungi unauzwa shs.40,000/=.Yap! Kwa hiyo uliacha wafu wazike wafu wao sio?
Daah wee jamaa unajiona toleo maalum la binadamu eeeh?Hawa jamaa acha wafe tu michosho sana
Ukweli lazima usemweDaah wee jamaa unajiona toleo maalum la binadamu eeeh?