Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

Ni mgawanyo wa kazi....isikuume sana.
Kuna wa kuokoa na kuna waandishi wa habari wa kijitegemea.
Kama asingerekodi tusingepata taarifa.
Linapotokea issue kama hiyo hata kama ni professional reporter unatupa camera unaokoa uhai wa mtu kwanza kisha taarifa utajua jinsi ya kuifikisha.
 
Sidhani kama mtu anahitaji kupitia JKT ili aweze kutoa msaada. Kwanza jamaa anaonekana anaelewa mambo mfano anawaambia wasimwage maji kwakuwa ni moto wa petrol. So huyo angalau ana idea ya fire fighting lakini sasa ndio hana msaada zaidi ya kuchukua video.
Vijana wengi wa kitz ni wazembe kiakili na kimwili
 
Back
Top Bottom