Alaf wajomba hao ikitokeaga hivyo wanatoa barrier faster wanarudi kituoni 😂😂
Kwamba kusimamishwa ilikuwa ghafla kiasi hicho au coaster ilikuwa mafuta sana!?
Bado hapo Kuna uzembe wa matumizi ya barabara
Coaster itakuwa ilikuwa kibati sana.
Pamoja na makosa ya kibindamu barabarani, inamaana deree angekuwa speed ya kawaida baada ya kuona iyo semi imesimama au iko mbele yake kwa speed ndogo naye angesimama tuu kwa mwendo wake wa kawaida km ni 60 au 50miundo mbinu mibovu ya barabara ni sehemu ya matokeo ya ajali.
Wajomba wana makosa ila madereva nao wana makosa, driver wa coaster angepunguza speed alipoona iyo semi mbele yake asingejibamiza ivo inamaana yeye hakujifunza kupunguza mwendo anapoona amekaribia gari lililo mbele yake kwenye uelekeo sawa? Alikuwa anawahi apite uvunguniAlaf wajomba hao ikitokeaga hivyo wanatoa barrier faster wanarudi kituoni 😂😂
Angekuwa hayupo kibati dereva angeweza kuchochora hata pembeni kama breki ilifeli.Usisahau brake huweza kufeli bila warning ndiyo maana:
Nchi zingine panapo kizuizi mbele ishara huanzia mbali sana.
Barrier haiwezi kuwa kwenye highway kama tahadhali ya msingi.
We ni dereva wa mara kwa mara!? Safari ndefu? Unaweza kutofautisha lori lililosimama na linalotembea esp kama halijawa na tadhari yoyote unayoona!?Wajomba wana makosa ila madereva nao wana makosa, driver wa coaster angepunguza speed alipoona iyo semi mbele yake asingejibamiza ivo inamaana yeye hakujifunza kupunguza mwendo anapoona amekaribia gari lililo mbele yake kwenye uelekeo sawa? Alikuwa anawahi apite uvunguni
Ndiyo, najua tahadhari ni muhimu mnoo maana gari ikiwa mbele yako ukiikaribia si lazima utakuwa unapunguza speed ili muendane huku ukitafuta chance ya kuovertake au? Unataka kuniambia ukiwa safari ndefu hutakiwi kuwa na tahadhari ya speed kisa gari haijaonesha indicators zozote?We ni dereva wa mara kwa mara!? Safari ndefu? Unaweza kutofautisha lori lililosimama na linalotembea esp kama halijawa na tadhari yoyote unayoona!?
Hayo yote ndio tunaita uzembe wa matumizi ya barabara kwa kifupi hapo Kuna mtu anapaswa kuwajibishwa ingawa najua hatakuwa dreva wa lorry maana sioni kosa lakeNchi zingine panapo kizuizi mbele ishara huanzia mbali sana.
Barrier haiwezi kuwa kwenye highway.
Bila kusahau brake hufeli na hasa kwenye uhitaji wake wa ghafla.