Ajali ya coaster na Fuso maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida

Ajali ya coaster na Fuso maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida

Hayo yote ndio tunaita uzembe wa matumizi ya barabara kwa kifupi hapo Kuna mtu anapaswa kuwajibishwa ingawa najua hatakuwa dreva wa lorry maana sioni kosa lake
Hapo ni hao barrier na coaster

Coaster labda Ina abiria 29, kuilazimisha kusimama bila warning tena na polisi wa serikali inayopaswa kujua "inertia" ina maana gani, ni ujingani tu.
 
Ndiyo, najua tahadhari ni muhimu mnoo maana gari ikiwa mbele yako ukiikaribia si lazima utakuwa unapunguza speed ili muendane huku ukitafuta chance ya kuovertake au? Unataka kuniambia ukiwa safari ndefu hutakiwi kuwa na tahadhari ya speed kisa gari haijaonesha indicators zozote?

1. Mkuu hiyo gari ni mtu 28+ ndani. Hiyo si saloon. Hujui palikuwa panyooka kiasi gani na pia Lori lilikuwa limesimamishwa muda gani kabla na huyu kaashiriwa lini asipite.

2. Ni kawaida haya yakitokea Wajuaji kudhani wangefanya vizuri zaidi.

3. Ila inertia, na kufahamu yasiyoweza kufahamika checkpoint kwanini kwenye highway na bila warnings za kutosha?

4. Kumbe kwanini hao wajomba wenye barrier hutimua mbio kuliko waliofumaniwa ikitokea ajali mitaa walipo kuwapo?
 
Coaster labda Ina abiria 29, kuilazimisha kusimama bila warning tena na polisi wa serikali inayopaswa kujua "inertia" ina maana gani, ni ujingani tu.
Haya watajua wao wenyewe tuwaombee uzima
 
Pamoja na makosa ya kibindamu barabarani, inamaana deree angekuwa speed ya kawaida baada ya kuona iyo semi imesimama au iko mbele yake kwa speed ndogo naye angesimama tuu kwa mwendo wake wa kawaida km ni 60 au 50
ukiangalia ipmact ya ajali kipo kitu cha ziada kimetokea hapo mpaka kutokea iyo ajali ila hatukijui.
 
Back
Top Bottom