Ajali ya Gari kwenye Service Bay

Ajali ya Gari kwenye Service Bay

baro

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
3,129
Reaction score
4,028
Habari zenu wakuu
Jana jioni katika viunga vya Jiji la Arusha , Nilikuwa na jamaa yangu ametoka Dar , sasa kafanya mizunguko yake ya shughuli za kiserikali zilizomleta Arusha , kamaliza jioni nikaamua Nimepeleke pale kituo cha mafuta PANONE -NGARENARO ili amwage oil

Sasa jamaa wa pale Panone akawa anaumelekeza jamaa kuingia sehemu ya Service , ghafla tukasikia puuuuh

1. Gari ilipiga resi ya ajabu na ikagonga ukuta wa service bay

2. Airbag zikafumuka

3. Rejeta ikaaanza kuvuja

4. Bampa la mbele likapasuka
5. Kioo cha Mbele kikapata mpasuko (alama)

7. Engine, Gear box , Taa, Sight mirror hajizulika

Msaada na Maoni

1. Je airbag zinaweza kurudishiwa ?

2. Tatizo ni nini Gari kujipiga resi vile kama amekanyaga mafuta kwa nguvu

Maoni yenu wakuu
 
Aiseeee mpe pole....

1. Airbag haziwezi kurudishiwa. Atafute hela akaweke nyingine. Tena shida ya airbag huwa zikishadeploy vinaharibika vitu vingi kwenye mfumo wake. Mfano seat belt na pretensioners zake na vitu vingine. Kikubwa atafute mtu afanye diagnosis ili ajue ni vitu gani anapaswa kununua.

2. Ishu ya gari kujipiga resi sijui. Af utasema gari ilijipiga resi kumbe jamaa alitaka kukanyaga breki kwa nguvu akajikuta kakanyaga accelerator.

All in all poleni.
 
Asante sana Mkuu kwa ushauri wako , kwa hiyo Airbag zinaweza gharimu bei gani?
 
Aiseeee mpe pole....

1. Airbag haziwezi kurudishiwa. Atafute hela akaweke nyingine. Tena shida ya airbag huwa zikishadeploy vinaharibika vitu vingi kwenye mfumo wake. Mfano seat belt na pretensioners zake na vitu vingine. Kikubwa atafute mtu afanye diagnosis ili ajue ni vitu gani anapaswa kununua.

2. Ishu ya gari kujipiga resi sijui. Af utasema gari ilijipiga resi kumbe jamaa alitaka kukanyaga breki kwa nguvu akajikuta kakanyaga accelerator.

All in all poleni.
Kama hapendi mfumuko huo wa airbag basi atengeneze gari then aiuze, nimewahi kuona mrk x ya soja mmoja nje kali sana ila ndani imeshonwa airbag
 
Habari zenu wakuu
Jana jioni katika viunga vya Jiji la Arusha , Nilikuwa na jamaa yangu ametoka Dar , sasa kafanya mizunguko yake ya shughuli za kiserikali zilizomleta Arusha , kamaliza jioni nikaamua Nimepeleke pale kituo cha mafuta PANONE -NGARENARO ili amwage oil

Sasa jamaa wa pale Panone akawa anaumelekeza jamaa kuingia sehemu ya Service , ghafla tukasikia puuuuh

1. Gari ilipiga resi ya ajabu na ikagonga ukuta wa service bay

2. Airbag zikafumuka

3. Rejeta ikaaanza kuvuja

4. Bampa la mbele likapasuka
5. Kioo cha Mbele kikapata mpasuko (alama)

7. Engine, Gear box , Taa, Sight mirror hajizulika

Msaada na Maoni

1. Je airbag zinaweza kurudishiwa ?

2. Tatizo ni nini Gari kujipiga resi vile kama amekanyaga mafuta kwa nguvu

Maoni yenu wakuu
Hapo kwenye gari kujipiga resi pana utata mwingi....
Yawezekana jamaa alikuwa amevaa sandals, zikampoza wakati wa kukanyaga brake,mguu ukatelezea kwenye pedal ya mafuta...

Au alitaka kushika brake za ghafla, kimbe mguu akaupeleka kwenye pedal ya mafuta

Hili derava hatasema, itakuwa ni sari yake..

Air bags ni kuweka tu nyingene na itagharimu gharama kibwa kuliko vitu vyote..

Poleni saana
 
Aiseeee mpe pole....

1. Airbag haziwezi kurudishiwa. Atafute hela akaweke nyingine. Tena shida ya airbag huwa zikishadeploy vinaharibika vitu vingi kwenye mfumo wake. Mfano seat belt na pretensioners zake na vitu vingine. Kikubwa atafute mtu afanye diagnosis ili ajue ni vitu gani anapaswa kununua.

2. Ishu ya gari kujipiga resi sijui. Af utasema gari ilijipiga resi kumbe jamaa alitaka kukanyaga breki kwa nguvu akajikuta kakanyaga accelerator.

All in all poleni.
Gari ikisha deploy airbags kwa wenzetu linakuwa limepoteza roadworthiness. Na mara nyingi linakuwa scrapped.

Ile ni safety feature ya kuokoa maisha tu , na imepigiwa mahesabu kuokoa maisha hata kama gari litaharibika , overhead airbags za volvo kwa mfano huwa zinaharibu roof yote.
 
Hapo kwenye gari kujipiga resi pana utata mwingi....
Yawezekana jamaa alikuwa amevaa sandals, zikampoza wakati wa kukanyaga brake,mguu ukatelezea kwenye pedal ya mafuta...

Au alitaka kushika brake za ghafla, kimbe mguu akaupeleka kwenye pedal ya mafuta

Hili derava hatasema, itakuwa ni sari yake..

Air bags ni kuweka tu nyingene na itagharimu gharama kibwa kuliko vitu vyote..

Poleni saana
Pikipiki hiyo sio? Nakwambia kuna mistake ambazo mtu hatarajii kutokea Kama mbele kungekuwa na mtu/watu?
 
Klugger ina accelerator ya kamba sio rahisi kijirace gari zenye accelerator ya umeme ndio zinaweza kujirace
Mbona kama umeongea kinyume, acc ya kamba ndo rahisi sana kujiress
Electronic drive by wire ina features nyingi sana na zote ni fail safe!, Yani hata kama ikifail zinakimbilia kwenye usalama na sio majanga, ndo maana ukipata broken circuit chances are, utakosa revs na si over revvs
Hiyo gari kama ni acc ya kamba chances za kuji res ni nyingi
 
Nimekuelewa mkuu. nimeandika kinyume
 
Huwa hakuna kuji-race. Huwa kuna uzembe wa aina fulani. Wakati najifunza kuendesha, nilikosakosa ajali ya aina hiyo. Nilikosea. Badala ya kukanyaga brake, nikakanyaga kwenye moto. Karibu ningonge geti la TCU.
Kuna jamaa fundi alipewa gari abadilishe tairi then airudishe kwa mmiliki.

Kilichotokea fundi alivyoanza kuendesha gari ikajirace, gari ikaenda kugonga premio new model mpaka ile premio ikatumbukia kwenye mtaro.

Gari baada ya kugonga premio ikaenda kugonga bodaboda na abiria wake mama, yule mama akavunjika mguu.

Gari ikaenda kugonga escudo ikatoka hapo ikagonga geti la apartments za bank kuu.

Yule fundi akashuka akakimbia. Katika uchaguzi pale tukagundua kapeti ya dereva kukanyagia miguu ni la manyoya lilijikusanya likaisukuma accelerator pedal ndio chanzo cha hiyo race
 
Back
Top Bottom