Mjeda?Kama hapendi mfumuko huo wa airbag basi atengeneze gari then aiuze, nimewahi kuona mrk x ya soja mmoja nje kali sana ila ndani imeshonwa airbag
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjeda?Kama hapendi mfumuko huo wa airbag basi atengeneze gari then aiuze, nimewahi kuona mrk x ya soja mmoja nje kali sana ila ndani imeshonwa airbag
Ni kweli wakati wakujifunza gari..wengi badala ya kukanya breki wanakanyaga mafuta..Huwa hakuna kuji-race. Huwa kuna uzembe wa aina fulani. Wakati najifunza kuendesha, nilikosakosa ajali ya aina hiyo. Nilikosea. Badala ya kukanyaga brake, nikakanyaga kwenye moto. Karibu ningonge geti la TCU.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna cha gari kujiresi hiyo ni escape plan ya kitoto ya dereva
Itakuwa mlikuwa mshapiga moja mbili na nyama choma hapo kwa moromboo mkuu
Gari gani ilikuwa hioHabari zenu wakuu
Jana jioni katika viunga vya Jiji la Arusha , Nilikuwa na jamaa yangu ametoka Dar , sasa kafanya mizunguko yake ya shughuli za kiserikali zilizomleta Arusha , kamaliza jioni nikaamua Nimepeleke pale kituo cha mafuta PANONE -NGARENARO ili amwage oil
Sasa jamaa wa pale Panone akawa anaumelekeza jamaa kuingia sehemu ya Service , ghafla tukasikia puuuuh
1. Gari ilipiga resi ya ajabu na ikagonga ukuta wa service bay
2. Airbag zikafumuka
3. Rejeta ikaaanza kuvuja
4. Bampa la mbele likapasuka
5. Kioo cha Mbele kikapata mpasuko (alama)
7. Engine, Gear box , Taa, Sight mirror hajizulika
Msaada na Maoni
1. Je airbag zinaweza kurudishiwa ?
2. Tatizo ni nini Gari kujipiga resi vile kama amekanyaga mafuta kwa nguvu
Maoni yenu wakuu
Aidha carpet iling’ang’aniaHakuna cha gari kujiresi hiyo ni escape plan ya kitoto ya dereva
Itakuwa mlikuwa mshapiga moja mbili na nyama choma hapo kwa moromboo mkuu
Kuziseti tu airbag utajuaje ziko sawa?Sijawahi kununua airbag kwa hapa Dar hivyo sijajua.
Kuziseti tu airbag utajuaje ziko sawa?
Baro baro,Habari zenu wakuu
Jana jioni katika viunga vya Jiji la Arusha , Nilikuwa na jamaa yangu ametoka Dar , sasa kafanya mizunguko yake ya shughuli za kiserikali zilizomleta Arusha , kamaliza jioni nikaamua Nimepeleke pale kituo cha mafuta PANONE -NGARENARO ili amwage oil
Sasa jamaa wa pale Panone akawa anaumelekeza jamaa kuingia sehemu ya Service , ghafla tukasikia puuuuh
1. Gari ilipiga resi ya ajabu na ikagonga ukuta wa service bay
2. Airbag zikafumuka
3. Rejeta ikaaanza kuvuja
4. Bampa la mbele likapasuka
5. Kioo cha Mbele kikapata mpasuko (alama)
7. Engine, Gear box , Taa, Sight mirror hajizulika
Msaada na Maoni
1. Je airbag zinaweza kurudishiwa ?
2. Tatizo ni nini Gari kujipiga resi vile kama amekanyaga mafuta kwa nguvu
Maoni yenu wakuu
Mbona unajitesa mkuu..Mi ndo maana natumia miguu miwili kuendesha
Ndio shida ya automatic gearboxKuna jamaa fundi alipewa gari abadilishe tairi then airudishe kwa mmiliki.
Kilichotokea fundi alivyoanza kuendesha gari ikajirace, gari ikaenda kugonga premio new model mpaka ile premio ikatumbukia kwenye mtaro.
Gari baada ya kugonga premio ikaenda kugonga bodaboda na abiria wake mama, yule mama akavunjika mguu.
Gari ikaenda kugonga escudo ikatoka hapo ikagonga geti la apartments za bank kuu.
Yule fundi akashuka akakimbia. Katika uchuguzi pale tukagundua kapeti ya dereva kukanyagia miguu ni la manyoya lilijikusanya likaisukuma accelerator pedal ndio chanzo cha hiyo race
riskyMi ndo maana natumia miguu miwili kuendesha
Hapana ndo nipo comfortable maana toka najifunza automatically ilitokea nikawa natumia miguu miwili, mmoja siwezi kutumia kabisa
It means gari ilijiresi sana na breki zikagoma?Kuna jamaa fundi alipewa gari abadilishe tairi then airudishe kwa mmiliki.