Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida.

So much suffering in this world.

images.jpeg
 
Hatari sana.lakini sisi ni uzembe wa serikali katika uokoaji.Kamati ya maafa Huwa inatafuna pesa tu Kila mwaka lakini uharaka wa kutekeleza majukumu katika uokoaji ni zero. Hii ajari ya kariakoo hakustahili hata mtu mmoja kufariki.
 
Hata mtu mmoja kufa sio kweli wengine watakufa kwa presha tu yalile tukio nk
 
Kwahiyo tusihoji ya Kariakoo kwa kuwa kule Gaza maghorofa yanadondoshwa mkuu?
 
Halafu huko Gaza wanavyoangukiwa na hayo majumba na mabomu wanaokoana wenyewe, hakuna kikosi kazi wala jeshi.

Inaumiza mno!
Ofcourse kuna wale white caps ni waokoaji, but wanazidiwa sababu gaza ni kubwa na uharibifu ni daily
 
Back
Top Bottom